Kumbe upo hapa mbona husaidii kujibu hayo maswali?
There are currently 8 users browsing this thread. (3 members and 5 guests)
mkuu sio mchina huyo? Maana michina ndo inakua hivo phone memory chini ya 1 mb
Kwa sababu ni mpya hebu hakikisha haya
-ikikaa sana inasema swipe key to unlock
-ina home screen 6 ukiswipe zinajichange kama 4 zinakua empty moja ina music player 1 itakaa icon kama 2 za application.
-click google play je yakupeleka sehemu za app za google? jaribu kudownload hata 1
-nenda setting then about ina android version 4?
-then sg3 lazma ikiingia tu internet itakupa notification ya software update (jelly bean)
Hebu angalia hivo
Dah Hata mimi pia Nilikumbana Nayo feki.SEMA NILIUZIWA 50ELFU NIKAJUA NIMEPATA KUMBE NIMEPATIKANA
Angalia IMEI yake halafu verify kwenye mtandao.
Kumbe upo hapa mbona husaidii kujibu hayo maswali?
There are currently 8 users browsing this thread. (3 members and 5 guests)
duh kama ulinunua chini ya laki tano wamekudanganya na sidhan hata itakua mtumba
Samsung doesnt have "locked features" unlike iphone.
Nenda katika phone menu, settings, storage..uangallie memory vizuri...lakini pia unaweza wenda katika
Menu- Settings-About phone...angalia kama ina-run Icecream Sandwich (ICS).. bse all SIII run that OS.
Galaxy SII upgrading to ICS inapunguza internal memory lakini si kwa built in version(SIII)..
mkuu, 50 elfu si ungeshtuka mapema?
hippocratessocrates, ndio huwa hazina locked features. Kama hiki kitu ni feki basi aliyeiga hafai, maana naiangalia hapa lkn bado siamini!
Mkuu,
1. Ikikaa baada ya seconds inasema kwa chini (bottom) "Slide To Unlock" (inalock na kuaunlock with click sound)
2. Ina home screens 6, unazipata kwa kuclick dots sita ambazo ziko kwa chini, kila ukiclick home screens tatu zinatokea kwa kujichanganya
3. Applications zipo nyingi, nikiclick kwa mfano skype na zingine naambiwa insert memory card, au memory not enough; mara insert T-Flash, au T-Card, inategemea na app ninayotaka kulaunch
4. Najua inatakiwa iwe inarun Android os 4.0.4 (Ice Cream Swandwich), lakini ni os gani inarun wala mpaka sasa sijajua, nimeangalia weee, wapi!
Vitu vinavyofanya kazi, ni kamera ipo nzuri sana, FM radio, kupiga, kupokea, texting, swiping interface ipo vizuri. Inaoneka hivyo hivyo physically kama nilivyoiona ikielezewa na watu mbalimbali Youtube na kusoma tech reviews.
Kama wamenidanganya, duh, wachina kiboko! Najiuliza ikiwa nitaweka MicroSD itaweza kuprocess apps mbalimbali?
ukowa mkuu! inaonekana jamaa kauziwa sio. lakini neno swipe screen to unlock hili linakuwapo na chini yake kuna icon ya call,browser na kamera.hii simu nanayo wiki ya pili sasa tayari nimei root na nimitoa ics nimeweka cyanogyn 10.Brother hadi hapo ni mchina
1. Sg3 haisemi slide to unlock inasema swipe
2.haiji na built in skype
3.ukiswipe inatokea sauti ya maji sio click sound
4.ukinavigate through home screen hamna vidoti mpaka menu screen
5.haihitaji memory card kurun application
Nakushauri tafuta memory card then download mafile ya java 320x480 ndo simu za kichina za kisasa zinatumia