Sumsung Galaxy s GT 19000 INAUZWA

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,018
1,147
Ni original Sumsung imenunuliwa UK nimeitumia miezi 2 tu, SUPER AMOLED Display, watch movies format zote incl mp4 na mkv, unaweza tumia torrent download moja kwa moja toka kwenye simu na kwa speed ya 3.75 5GB ni kama maji yanatirirka, nimeitumia kwa skype video charting na washikaji all over the world. sync contact zake zote za facebook, twiiter, yahoo kwa dk tu. na iko ipo compatible na apps kibao za android. Uzuri zaidi u can use the JF android app moja kwa moja toka kwenye simu hii. Iko very up to date, inatumia the latest android os 2.3.5. U dont need even a scanner ur galaxy can do it for u!!
bei laki 6 tu Guarantee miezi 3 Ni pm pls
 
Now that every body is intetested in this phone, how about biding,and the highest bidder will win the stake
 
posta Dar inauza laki 4 mpya.punguza bei kwsb umekwisha itumia ni 'Used' hiyo!
 
Dah mkuu mi napita tu, ila nimependa jinsi ulivyoipa promo, yani we ni marketer mzuri kabisa
 
Back
Top Bottom