ushaanza kuonesha your true colors...hahaha and huwa siwi provoked kirahisi hivo...."dont argue with a fool,people might not know the difference"...endelea na ujinga wako...naona kukueelimisha and kukukosoa kama mwanajukwaa mwenzio imekuwa tabu sana hadi unaona kama nakufuatilia...kwa kipi labda??...nakutakia maisha mema ya chuo ila mind you tabia kama hizi pale MABIBO utakuja juta kama ukiendelea nazo