Sumbawanga umepangiliwa sana

Sumbawanga umepangiliwa sana

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,318
Reaction score
12,828
Wadau nilikuwa Sumbawanga tarehe mosi,Januari kwa kweli mji huu umepangiliwa vizuri tofauti na ilivyo baadhi ya miji hapa Tanzania. Wenyeji wameniambia upangiliaji wa majengo ni utaratibu waliojiwekea hawaruhusu mtu kujenga katikati ya mtaa,wanasema hata Rukwa vijijini wanajenga kwa utaratibu,nadhani huu ni mfano wa kuigwa hususani kwa wakazi wa Dar.
 
Attachments

  • 1420193351510.jpg
    1420193351510.jpg
    62.3 KB · Views: 549
mbna sioni kilichopangwa hapo zaidibya nyumba zilizo pembezoni mwa njia(sio barabara) ya rami?ulitaka wajenge njiani..?alafu hyo cjui wilaya mbna ni pabaya hivo..?
 
Sumbawanga
 
Attachments

  • 1420193714721.jpg
    1420193714721.jpg
    41.3 KB · Views: 286
Unatuwekea picha moja tu, mliopita sumbawanga njoni muthibitishe
 
S'wanga
 
Attachments

  • 1420193896912.jpg
    1420193896912.jpg
    69.1 KB · Views: 239
Sumbawanga
 
Attachments

  • 1420194122385.jpg
    1420194122385.jpg
    56.7 KB · Views: 211
Wadau nilikuwa Sumbawanga tarehe mosi,Januari kwa kweli mji huu umepangiliwa vizuri tofauti na ilivyo baadhi ya miji hapa Tanzania. Wenyeji wameniambia upangiliaji wa majengo ni utaratibu waliojiwekea hawaruhusu mtu kujenga katikati ya mtaa,wanasema hata Rukwa vijijini wanajenga kwa utaratibu,nadhani huu ni mfano wa kuigwa hususani kwa wakazi wa Dar.

aisee! Kuzuri kuliko matarajio yangu, haka ka lami kanaelekea wapi?
Weka na ya namanyele!
attachment.php
 
Inaelekea stendi kuu,mji umepangiliwa vizuri sana,Namanyele sikufika niliishia pale mjini tu.
 
Wadau nilikuwa Sumbawanga tarehe mosi,Januari kwa kweli mji huu umepangiliwa vizuri tofauti na ilivyo baadhi ya miji hapa Tanzania. Wenyeji wameniambia upangiliaji wa majengo ni utaratibu waliojiwekea hawaruhusu mtu kujenga katikati ya mtaa,wanasema hata Rukwa vijijini wanajenga kwa utaratibu,nadhani huu ni mfano wa kuigwa hususani kwa wakazi wa Dar.

nenda tanga hlf fananisha na sumbawanga!! tanga ndio 1st tanzania mji uliopangika
 
Back
Top Bottom