Sumbawanga mjini kumekucha! CCM chali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumbawanga mjini kumekucha! CCM chali!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Sinkala, Nov 1, 2010.

 1. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mgombea wa ubunge wa CCM amegoma kusaini matokeo baada ya kubwagwa na mgombea ubunge wa CHADEMA, mwl. N. Yamsebo. CHADEMA tayari wanaimba nyimbo za shangwe na polisi wamesema hakuna hata mtu atakayepigwa kirungu. Watu bado wapo nje ya ukumbi wakisubiri CHADEMA itangazwe mshindi !
   
 2. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Hawa wabunge nao, ukishindwa weka sahihi na songa mbele, maisha yanaendelea.
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hawa walipanga hivyo kwa nini wanapingana na ukweli?
   
 4. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Si alisema atakubali matokeo?
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  CCM ndo Aish?
   
 6. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Yeah, yule mwarabu mwenye skendo!
   
 7. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi wasipokubali matokeo maisha hayatakwenda? au wamekopa wakijua watazirudisha kinamna?
   
 8. f

  falesy Senior Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 15, 2006
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nchi inataharuki kwa vipijo no vififjo
   
 9. W

  Wanzuki Senior Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sawa alisema atayakubali matokeo, lakini siyo hayo!!
  Hivi fikiria, maisha yangu yote siasa, leo unanidondosha, niende wapi jamani!!
   
 10. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  aiseee cant believe
   
 11. m

  mpongopongo Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongeraa yamsebooooo:yield::yield::yield::yield:
   
 12. m

  mpongopongo Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safffffffffffffffffffffffff
   
 13. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Safi wakombe...
   
 14. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Ndiye huyo.

  Sumbawanga, jamani wananchi wake wamepigika kwa ufukara. CCM walianza visa tangu Dr Slaa alipofika S'wanga, Chadema walinyimwa viwanja vya mjini na kupewa uwanja wa mkutano kilomita tatu toka mjini Sumbawanga, siku hiyo wananchi wote walifunga biashara zao, shughuli za nyumbani ziliahirishwa kwa muda. Maandamano makubwa yalionekana barabarani yakielekea uwanja wa mkutano umbali wa kilomita tatu kwa miguu na baiskeli.

  Hongereni Sana sana.
   
 15. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Bado nasikilizia Nkasi kaskazini, hali si nzuri kwa CCM. Mpanda mjini na Mpanda Vijijini uchaguzi uliahirishwa, ila zote ni ngome za CHADEMA
   
 16. Sisimizi

  Sisimizi JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 490
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Twataizya masono. Sawa wakombe. Tukubali matokeo
   
 17. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sante kalesa !
   
 18. e

  ebrah JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani tuombe Vurugu zisitokee na matokeo yakubalike


   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,380
  Trophy Points: 280

  Ndugu yangu, hili somo gumu sana kwa watu wengine. Ni kama haki yakuzaliwa vile. Yaani ingekuwa raha kweli leo, huku CCM wanashinda, huku Chadema wanashinda huku CUF wanashinda up to the end. Wote tunacheka na kugongesheana. Miaka mitano inakuja.. lakini wapi...
   
 20. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hali inaanza kubadilika baada ya msimamizi wa uchaguzi Sumbawanga Mjini kusema hatatangaza matokeo sasa hivi, hadi saa sita usiku! Cha ajabu matokeo ya urais yametangazwa, ila ubunge anasubiri usiku!
   
Loading...