Sumaye: Wema Ashindwa Kutoa Ya Moyoni

Mjibu hoja na sio kuleta visingizio.
 
Andiko rasmi linakuwaje kijana?
 
hivi leo FREDERICK SUMAYE NI WA KUTOA UPDATES ZA WEMA SEPETU?

hivi siasa huwa zinawafanyaga nini?
Watu8 nisaisdie kuuliza pls
Weye acha ujinga. Vyombo vya habari vikija kukuuilza chochote , ujibu usijibu wenyewe wanaondoka na habari.
Halafu, mind you, Mzee Sumaye yupo Pwani hivyo lazima wanahabari walimfuata na hawakukufuata weye kisalata wa mtaa. Stupid!
 
wemaaaa can you fly to the press conference these aftrernoon..........oooh no wewe mkaka sorry am busy.....................
 
Uzuri humu hata ukiandikwa "Upuuzi" wa aina gani hautakosa Wachangiaji.


Watu hawahoji wala kujihoji chochote alimradi kimetumwa humu kitajadiliwa tu.
 
hahaha maisha bila unafiki hayakwendi..
 
wemaaaa can you fly to the press conference these aftrernoon..........oooh no wewe mkaka sorry am busy.....................
Sahihisha lugha hiyo jinga weye. Unadhani upo Facebook hapa. Huku upo na wakuu, acha kuandika ujinga!
 
Chadema ovyooooo hamna wadadavuaji wa agenda zenye tija kwa taifa tena
 
Ha ha ha wewe tulia tu utapata ukweli, tupo hapa kwenye ofisi ya kanda Mzee Sumaye anatafuta jinsi ya kuuhadaa umma.
Stupid old woman! Kumbe unaandika kitu cha kutunga tu? Umeanza kuzeeka vibaya. Hata ugoro wazee wenzio sidhani kama watakugawia! Hopeless!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…