Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,405
jaribu kuandika na kuweka koma na nuctaIle msuguano kati ya cdm ufipa na Chadema Alpha imezidi kupamba moto ambapo ktk kikao cha hivi karibuni kilichofanyika ktk hoteli moja maeneo sinza mvutano mkubwa ulitokea kutoka makundi mawili ndani ya cdm yaani chadema wanaharakati na chadema wanasiasa, chadema wanaharakati ambao kwa sasa wanajinasibu kuwa cdm originaly wameamua kumweka rasmi waziri mkuu wa awamu ya tatu mh Frederick Sumaye kiongozi wa kundi lao kupambana na chadema wanasiasa ambao wanaitwa wahamiaji ambao kiongozi wao ni waziri mkuu wa awamu ya nne mh Edward Lowassa. Ili kutimiza malengo yao ndani ya cdm na kulinda maslahi cdm wanaharakati wamemshawishi Sumaye kugombea nafasi ya uenyekiti kanda pwani kanda ambao ni pili kwa nguvu ndani ya cdm ukiacha kanda ya kaskazini, lengo ni kumfanya mh sumaye kuwa na nguvu kupambana na Lowassa ktk uchaguzi mkuu 2020 ndani ya chama icho. Kutokana na mkakati huo uhusiano kati ya Lowassa na Sumaye umeanza kutetereka kwa kiwango kikubwa, baadhi ya wanachadema waandamizi wameanza kutaka Mbowe kuacha uenyekiti wa Chama icho
Nukta sio nucta, Bavicha.jaribu kuandika na kuweka koma na nucta
UVCCM MNAKAZI KWELIKWELI.
SWISSME
unajipendekeza kazi yenu umebaki hii.Nukta sio nucta, Bavicha.
Sentenso=Sentensi.Swissme, sentenso huanza na herufi kubwa. Kila mwisho wa sentenso weka nukta. Bavicha.
Umemaliza kuandika umbea wako upitie elfu 7 yako au unasubiri uandike mwingine ziongezeke?Ile msuguano kati ya cdm ufipa na Chadema Alpha imezidi kupamba moto ambapo ktk kikao cha hivi karibuni kilichofanyika ktk hoteli moja maeneo sinza mvutano mkubwa ulitokea kutoka makundi mawili ndani ya cdm yaani chadema wanaharakati na chadema wanasiasa, chadema wanaharakati ambao kwa sasa wanajinasibu kuwa cdm originaly wameamua kumweka rasmi waziri mkuu wa awamu ya tatu mh Frederick Sumaye kiongozi wa kundi lao kupambana na chadema wanasiasa ambao wanaitwa wahamiaji ambao kiongozi wao ni waziri mkuu wa awamu ya nne mh Edward Lowassa. Ili kutimiza malengo yao ndani ya cdm na kulinda maslahi cdm wanaharakati wamemshawishi Sumaye kugombea nafasi ya uenyekiti kanda pwani kanda ambao ni pili kwa nguvu ndani ya cdm ukiacha kanda ya kaskazini, lengo ni kumfanya mh sumaye kuwa na nguvu kupambana na Lowassa ktk uchaguzi mkuu 2020 ndani ya chama icho. Kutokana na mkakati huo uhusiano kati ya Lowassa na Sumaye umeanza kutetereka kwa kiwango kikubwa, baadhi ya wanachadema waandamizi wameanza kutaka Mbowe kuacha uenyekiti wa Chama icho
mkuu, huyo anataka tu kujaribu kusahaulisha watu mtifuano wao kati ya "ccm ile ile" na "ccm mwendokasi". aende kwanza dodoma akapige kura bandia za kukabidhiana uenyekiti.Umemaliza kuandika umbea wako upitie elfu 7 yako au unasubiri uandike mwingine ziongezeke?
Nafikiri wewe ni Demu. Mwanamke aliyezea ukahaba siku zote fikara zake ni za kikahaba kahaba ila siwashangai cdm make ninyi ni ukoo wa mafisadiUmemaliza kuandika umbea wako upitie elfu 7 yako au unasubiri uandike mwingine ziongezeke?
Lini chadema iliwai kumchagua Mketi hata wa katamkuu, huyo anataka tu kujaribu kusahaulisha watu mtifuano wao kati ya "ccm ile ile" na "ccm mwendokasi". aende kwanza dodoma akapige kura bandia za kukabidhiana uenyekiti.
jaribu kuandika na kuweka koma na nucta
UVCCM MNAKAZI KWELIKWELI.
SWISSME
Afu hili watu hawalioni kabsa.....HII NI VITA KALI SANA YA KUTAFTA MGOMBEA URAIS NDANI YA CHADEMA.....tukumbuke vita yao walipokuwa CCM.....BAVICHA MSIKIMBIE KUTUKANA TU angalieni mwenendo wa CHAMA chenu kwa SASA ILI mkinusuru kwa MUSTAKABALI WENU WA KESHO muwaombe hawa watu wapumzike wabaki nI WASHAURI TUH.Vita ya kisiasa kati ya EL na FS imehamia cdm. Hawa watu wamehamia cdm na wafuasi wao.
Tatizo unaandika haraka ili ukapewe buku 7Nukta sio nucta, Bavicha.
Tulia uandike sio unakimbiakimbiaLini chadema iliwai kumchagua Mketi hata wa kata