Sumaye Vs Lowassa ndani ya CDM

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
1,984
1,405
Ile msuguano kati ya cdm ufipa na Chadema Alpha imezidi kupamba moto ambapo ktk kikao cha hivi karibuni kilichofanyika ktk hoteli moja maeneo sinza mvutano mkubwa ulitokea kutoka makundi mawili ndani ya cdm yaani chadema wanaharakati na chadema wanasiasa, chadema wanaharakati ambao kwa sasa wanajinasibu kuwa cdm originaly wameamua kumweka rasmi waziri mkuu wa awamu ya tatu mh Frederick Sumaye kiongozi wa kundi lao kupambana na chadema wanasiasa ambao wanaitwa wahamiaji ambao kiongozi wao ni waziri mkuu wa awamu ya nne mh Edward Lowassa. Ili kutimiza malengo yao ndani ya cdm na kulinda maslahi cdm wanaharakati wamemshawishi Sumaye kugombea nafasi ya uenyekiti kanda pwani kanda ambao ni pili kwa nguvu ndani ya cdm ukiacha kanda ya kaskazini, lengo ni kumfanya mh sumaye kuwa na nguvu kupambana na Lowassa ktk uchaguzi mkuu 2020 ndani ya chama icho. Kutokana na mkakati huo uhusiano kati ya Lowassa na Sumaye umeanza kutetereka kwa kiwango kikubwa, baadhi ya wanachadema waandamizi wameanza kutaka Mbowe kuacha uenyekiti wa Chama icho
 
jaribu kuandika na kuweka koma na nucta

UVCCM MNAKAZI KWELIKWELI.

SWISSME
 
Nukta sio nucta, Bavicha.
unajipendekeza kazi yenu umebaki hii.

26a60b6f31909c38b344dd447378ea47-1.jpg

swissme
 
Swissme, sentenso huanza na herufi kubwa. Kila mwisho wa sentenso weka nukta. Bavicha.
 
Ile msuguano kati ya cdm ufipa na Chadema Alpha imezidi kupamba moto ambapo ktk kikao cha hivi karibuni kilichofanyika ktk hoteli moja maeneo sinza mvutano mkubwa ulitokea kutoka makundi mawili ndani ya cdm yaani chadema wanaharakati na chadema wanasiasa, chadema wanaharakati ambao kwa sasa wanajinasibu kuwa cdm originaly wameamua kumweka rasmi waziri mkuu wa awamu ya tatu mh Frederick Sumaye kiongozi wa kundi lao kupambana na chadema wanasiasa ambao wanaitwa wahamiaji ambao kiongozi wao ni waziri mkuu wa awamu ya nne mh Edward Lowassa. Ili kutimiza malengo yao ndani ya cdm na kulinda maslahi cdm wanaharakati wamemshawishi Sumaye kugombea nafasi ya uenyekiti kanda pwani kanda ambao ni pili kwa nguvu ndani ya cdm ukiacha kanda ya kaskazini, lengo ni kumfanya mh sumaye kuwa na nguvu kupambana na Lowassa ktk uchaguzi mkuu 2020 ndani ya chama icho. Kutokana na mkakati huo uhusiano kati ya Lowassa na Sumaye umeanza kutetereka kwa kiwango kikubwa, baadhi ya wanachadema waandamizi wameanza kutaka Mbowe kuacha uenyekiti wa Chama icho
Umemaliza kuandika umbea wako upitie elfu 7 yako au unasubiri uandike mwingine ziongezeke?
 
mkuu, huyo anataka tu kujaribu kusahaulisha watu mtifuano wao kati ya "ccm ile ile" na "ccm mwendokasi". aende kwanza dodoma akapige kura bandia za kukabidhiana uenyekiti.
 
Vita ya kisiasa kati ya EL na FS imehamia cdm. Hawa watu wamehamia cdm na wafuasi wao.
 
Umemaliza kuandika umbea wako upitie elfu 7 yako au unasubiri uandike mwingine ziongezeke?
Nafikiri wewe ni Demu. Mwanamke aliyezea ukahaba siku zote fikara zake ni za kikahaba kahaba ila siwashangai cdm make ninyi ni ukoo wa mafisadi
 
jaribu kuandika na kuweka koma na nucta

UVCCM MNAKAZI KWELIKWELI.

SWISSME

Vita ya kisiasa kati ya EL na FS imehamia cdm. Hawa watu wamehamia cdm na wafuasi wao.
Afu hili watu hawalioni kabsa.....HII NI VITA KALI SANA YA KUTAFTA MGOMBEA URAIS NDANI YA CHADEMA.....tukumbuke vita yao walipokuwa CCM.....BAVICHA MSIKIMBIE KUTUKANA TU angalieni mwenendo wa CHAMA chenu kwa SASA ILI mkinusuru kwa MUSTAKABALI WENU WA KESHO muwaombe hawa watu wapumzike wabaki nI WASHAURI TUH.
 
Kuna kitu nyuma ya pazia. Hii sio ya kawaida harakati hizi za Sumaye ndani ya cdm
 
Sasa mbona wote wawili (wanaharakati na wanasiasa) wanaazima viongozi toka CCM?
Au ndio mambo ya CCM B
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom