Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,405
Ile msuguano kati ya cdm ufipa na Chadema Alpha imezidi kupamba moto ambapo ktk kikao cha hivi karibuni kilichofanyika ktk hoteli moja maeneo sinza mvutano mkubwa ulitokea kutoka makundi mawili ndani ya cdm yaani chadema wanaharakati na chadema wanasiasa, chadema wanaharakati ambao kwa sasa wanajinasibu kuwa cdm originaly wameamua kumweka rasmi waziri mkuu wa awamu ya tatu mh Frederick Sumaye kiongozi wa kundi lao kupambana na chadema wanasiasa ambao wanaitwa wahamiaji ambao kiongozi wao ni waziri mkuu wa awamu ya nne mh Edward Lowassa. Ili kutimiza malengo yao ndani ya cdm na kulinda maslahi cdm wanaharakati wamemshawishi Sumaye kugombea nafasi ya uenyekiti kanda pwani kanda ambao ni pili kwa nguvu ndani ya cdm ukiacha kanda ya kaskazini, lengo ni kumfanya mh sumaye kuwa na nguvu kupambana na Lowassa ktk uchaguzi mkuu 2020 ndani ya chama icho. Kutokana na mkakati huo uhusiano kati ya Lowassa na Sumaye umeanza kutetereka kwa kiwango kikubwa, baadhi ya wanachadema waandamizi wameanza kutaka Mbowe kuacha uenyekiti wa Chama icho