Sumaye: Upinzani kugumu kuliko CCM

Sumaye: Upinzani kugumu kuliko CCM

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
13,185
Reaction score
24,051
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema kuwa mpinzani yataka moyo na mtu yeyote aliyepo upinzani anatakiwa kuwa mvumilivu kwa sababu katika upande huo hakuna ‘mteremko’.

Kiongozi huyo ambaye kwa sasa yupo Chadema amesema kuwa katika chama cha upinzani ni kazi kubwa inayohitaji moyo wa uvumilivu kuliko mtu aliyepo CCM.

Sumaye, ambaye aliweka rekodi ya kushikilia nafasi ya Waziri Mkuu kwa kipindi cha miaka 10 wakati wa Serikali ya Awamu ya Tatu, alihamia upinzani wakati wa harakati za Uchaguzi Mkuu na kuwa mmoja wa wasemaji wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakati wa kampeni.

Akizungumza wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa ofisi ya Chadema wilayani Mkuranga, Sumaye amesema dola haipatikani kirahisi na kwamba inahitaji moyo wa kujitoa miongoni mwa wanachama na viongozi wao.

Tangu alipojiunga na upinzani, Sumaye amekabiliwa na misukosuko kadhaa ikiwamo umiliki wa mashamba makubwa na kuzuiwa kuhudhuria mahafali ya umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma Januari mwaka huu, kitendo kilichomfanya alalamikie watawala na kuonya kuwa kuwazuia wananchi kukusanyika kunaweza kusababisha madhara.

CHANZO:Mwananchi.
 
When you rewind the tape up to Saturday, 22nd August 2015 utamsikia Sumaye akisema amejiunga upinzani ili kuwafundisha wapinzani jinsi ya kuendesha siasa na serikali huku akiwasifu Dk. Slaa na Prof. Lipumba kuwa ni moja kati ya waliousimamisha upinzani vyema.

Dk Slaa has gone and Prof. Lipumba political future has been hanging by a thread since the day Sumaye and Lowassa left CCM to join CHADEMA.

Fastforward mpaka Sunday 9th October 2016 tunamsikia akitoa maneno ambayo ukiyachunguza yanaonyesha aliokuwa anadhani atawafundisha kazi kwa sasa ndio wanaomfundisha kazi ya uvumilivu.

Maelezo ya Mzee wangu Sumaye yanaonyesha yuko katika deep regret and remorse. The journey and new political adventure has cost him something emotionally or financially and led to a punishment or undesirable result.

Haishangazi kwa sasa tunasikia anataka kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa.

From Tanzania Prime Minister to CHADEMA Regional Chairman. Hii ni ishara kamili ya frustration for unfinished political business.

Tusije kushangaa kusikia amerudi CCM!

Siasa za Tanzania ni majanga!
 
Kumbe una mawazo mgando pamoja na kuwa umekwenda Shule. Umeshindwa kumuelewa amesema nini Sumaye mpaka utoe tafsiri mbovu kiasi hicho?
 
Hata wewe una haki ya kutoa tafsiri yako lakini siwezi kuita tafsiri yako ni mawazo mgando kwa sababu sina hati miliki ya tafsiri.

Ungelitendea haki jukwaa kama ungetoa tafsiri yako ili hata wengine wafaidike na shule yako!
 
Alichokisema Sumaye( kama kweli kasema yeye).....ni kweli kabisa....lakini haioneshi kwamba anajutia....bali anaweka wazi halisi halisi ya maisha ya kisiasa ya vyama vinavyoitwa vya kipinzani hapa nchini....ili wale waliochoshwa na utawala wa CCM wakija huku wasitegemee mteremko.....

Na nina hakika ni wengi waliochoshwa na CCM lakini wanalazimika kuendelea kubaki huko ili mambo yao yawaendeee...vizuri kama yeye alivyowahi kusema.....

Nilichokiona kwa mleta mada ni kuwa kaileta habari hii huku akiwa ana maoni yake tayari.....lakini alichoshindwa ni kushabihisha maoni yake na maaneno ya Sumaye.....hali inayopelekea aonekane watu wamshangae....
 
Nikionana naye nitamwambia arudi Ccm bado busara zake zinahitajika kila mtu anakumisi huku mzee Sumaye huko ni kwa vijana waliokata tamaa mzee.

KWANI UNA UHAKIKA GANI KAMA HAYUPO CCM....INAWEZEKANA HUKO UKAWA YUPO KIMWILI...LAKINI MOYO UPO CCM.....

Ni vigumu kutenganisha mwili na kipenda roho...
 
Nikionana naye nitamwambia arudi Ccm bado busara zake zinahitajika kila mtu anakumisi huku mzee Sumaye huko ni kwa vijana waliokata tamaa mzee.
Atakubali kuwa ng'ombe aliyekatwa mkia?

Au itakuwa kama wahenga wasemavyo, afadhali lawama kuliko fedheha!
 
Anawapiga changa la macho wananchi ili wamuonee huruma,bonaTLP, CHAUMA,ni wapinzani lakini ni mteremko tu.si ajiunge nao tu.
 
Fahari ya maisha ni amani na furaha, kuwa kwenye chama ukakosa mambo hayo ya msingi ktk maisha ni kukiri kukubali utumwa!
 
When you rewind the tape up to Saturday, 22nd August 2015 utamsikia Sumaye akisema amejiunga upinzani ili kuwafundisha wapinzani jinsi ya kuendesha siasa na serikali huku akiwasifu Dk. Slaa na Prof. Lipumba kuwa ni moja kati ya waliousimamisha upinzani vyema.

Dk Slaa has gone and Prof. Lipumba political future has been hanging by a thread since the day Sumaye and Lowassa left CCM to join CHADEMA.

Fastforward mpaka Sunday 9th October 2016 tunamsikia akitoa maneno ambayo ukiyachunguza yanaonyesha aliokuwa anadhani atawafundisha kazi kwa sasa ndio wanaomfundisha kazi ya uvumilivu.

Maelezo ya Mzee wangu Sumaye yanaonyesha yuko katika deep regret and remorse. The journey and new political adventure has cost him something emotionally or financially and led to a punishment or undesirable result.

Haishangazi kwa sasa tunasikia anataka kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa.

From Tanzania Prime Minister to CHADEMA Regional Chairman. Hii ni ishara kamili ya frustration for unfinished political business.

Tusije kushangaa kusikia amerudi CCM!

Siasa za Tanzania ni majanga!
Kwa taarifa yenu Mh Sumaye si mwanasiasa.

Ila ashukuru Mungu tu kuwa amewahi kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 10.
 
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema kuwa mpinzani yataka moyo na mtu yeyote aliyepo upinzani anatakiwa kuwa mvumilivu kwa sababu katika upande huo hakuna ‘mteremko’.

Kiongozi huyo ambaye kwa sasa yupo Chadema amesema kuwa katika chama cha upinzani ni kazi kubwa inayohitaji moyo wa uvumilivu kuliko mtu aliyepo CCM.

Sumaye, ambaye aliweka rekodi ya kushikilia nafasi ya Waziri Mkuu kwa kipindi cha miaka 10 wakati wa Serikali ya Awamu ya Tatu, alihamia upinzani wakati wa harakati za Uchaguzi Mkuu na kuwa mmoja wa wasemaji wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakati wa kampeni.

Akizungumza wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa ofisi ya Chadema wilayani Mkuranga, Sumaye amesema dola haipatikani kirahisi na kwamba inahitaji moyo wa kujitoa miongoni mwa wanachama na viongozi wao.

Tangu alipojiunga na upinzani, Sumaye amekabiliwa na misukosuko kadhaa ikiwamo umiliki wa mashamba makubwa na kuzuiwa kuhudhuria mahafali ya umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma Januari mwaka huu, kitendo kilichomfanya alalamikie watawala na kuonya kuwa kuwazuia wananchi kukusanyika kunaweza kusababisha madhara.
CHANZO:Mwananchi.
Ataiota sana CCM,kutoka ligi kuu ya Vodacom,hadi kombe la Mbuzi uwanja wa Kinesi.
 
Ina mana yote hayo alikuwa hayajui ??? Ameanza kunyang'anya mashamba aliyokuwa ameyahodhi kwa tamaa zake binafsi na sasa mashamba hayo yameanza kurejeshwa kwa wapigakura wananchi masikini.
 
Kumbe una mawazo mgando pamoja na kuwa umekwenda Shule. Umeshindwa kumuelewa amesema nini Sumaye mpaka utoe tafsiri mbovu kiasi hicho?
Mzee jitahidi kuwa na akiba ya maneno. Kuna uzi hapa wa 2014 kama sikosei unazungumzia what if Lowassa akifukuzwa CCM ataenda CHADEMA? Wadau wa chama husika walijibu mambo kwa hasira na matusi kuwa huyu mtu hawezi kupokelewa CHADEMA, in the end akajiunga CHADEMA na watu wale wale kwa aibu wamelazimika kumeza maneno yao. Mdau hapo kaandika sensible issues, it's just a matter of time. Learn to hold in the words when necessary
 
Kumbe una mawazo mgando pamoja na kuwa umekwenda Shule. Umeshindwa kumuelewa amesema nini Sumaye mpaka utoe tafsiri mbovu kiasi hicho?
Mtoa mada ameeleza Vema. Upinzani kwisha kazi mpaka waliokimbilia huko wanajutaaaaa kuuparamiaaa!
 
Back
Top Bottom