Sumaye ni Mpambanaji atatufaa sana Kamanda Sumaye chukua Ukatibu Uwanyooshe CCM
WanaJF
Waziri mkuu mstaafu Mh Frederick Sumaye amejiunga rasmi na CHADEMA mjini Arusha kwenye mkutano wa kufunga kampeni za kumnadi Godbless Lema.
Haya ni maandalizi ya awali ya kumwandaa Sumaye kushika nafasi ya ukatibu mkuu wa CHADEMA, nafasi iliyoachwa na Dr. Slaa.
Tusubiri
Punguza majungu wewe tunakujua kwa propaganda za maji taka. Post zako zote zimekaa kimajungu na ID zaidi ya 25 humu.
Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..
WanaJF
Waziri mkuu mstaafu Mh Frederick Sumaye amejiunga rasmi na CHADEMA mjini Arusha kwenye mkutano wa kufunga kampeni za kumnadi Godbless Lema.
Haya ni maandalizi ya awali ya kumwandaa Sumaye kushika nafasi ya ukatibu mkuu wa CHADEMA, nafasi iliyoachwa na Dr. Slaa.
Tusubiri
Kama anao uwezo sioni tatizo!
Kweli hiki ni kichekesho....huyu jamaa ataweza kuvaa viatu vya Dr. Wilbroad Slaa??? Labda kuwe na makatibu wakuu wawili, Sumaye na Kingunge, combined ndo wanaweza kumkaribia Dr.
Cc Mzee Mwanakijiji
naona wameamua kupigilia msumari wa mwisho chadema, kwa mtaji huu wa Mr Zero chadema ndio itapotea kabisaaa. mnawachezea wananchi kwa faida yenu naona.
Kama ni kweli nazidi kuamini kuwa chadema ni chama cha kikanda. Chama cha kaskazini
Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..
Kama ni kweli nazidi kuamini kuwa chadema ni chama cha kikanda. Chama cha kaskazini
Tukiachana na dhana kulipa fadhila au deni. Je Sumaye anafaa au hafai? Je ataweza kuongoza mapambano kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake Dr Slaa ingawa aliamua kukabidhi silaha kwa adui?