Sumaye kawasaidie UKAWA hawajui la kufanya kule Dar

Sumaye kawasaidie UKAWA hawajui la kufanya kule Dar

Mr. Zero nasikia vijana walivamia mashamba yake aliyopora. Si ajabu yupo huko anahangaika kuwafurusha. Eti yeye ndiye Think Tank ya UKAWA linapokuja suala la uongozi. Mh!
 
Ukawa sasa huu ndo wakati wenu kupeleka maendeleo daslamu,tunataka iwe kama hongkong
 
Ulivyojiunga na UKAWA ulisema jukumu lako mojawapo ni kuwasaidia UKAWA namna ya kuongoza nchi, sasa wiki imepita tangu hawa UKAWA washike jiji la Dar es salaam hakuna chochote kilichofanyika wala hawajui waanzie wapi waishie wapi?

Wagonjwa Muhimbili wanalala chini mashine mbovu Mwananyamala ndo usiseme Temeke balaa, wao wako na Laigwani.

Inaonekana hawajui majukumu yao naomba uende ukawasaidie namna ya kuongoza Jiji kama Dar es salaam.
Kupoteza jiji la dsm kumeumiza sana ccm , maana kuna tetesi zabuni zote kufumuliwa upya na UDA kurejeshewa wenyewe .
 
Humu jf siku hizi kenge wamekuwa wengi hivi hii ni post gani.Ungekwepo enzi za Utawala wa mjerumani ungepigwa risasi hadharani
 
Back
Top Bottom