Sumaye kawasaidie UKAWA hawajui la kufanya kule Dar

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,079
Reaction score
12,310
Ulivyojiunga na UKAWA ulisema jukumu lako mojawapo ni kuwasaidia UKAWA namna ya kuongoza nchi, sasa wiki imepita tangu hawa UKAWA washike jiji la Dar es salaam hakuna chochote kilichofanyika wala hawajui waanzie wapi waishie wapi?

Wagonjwa Muhimbili wanalala chini mashine mbovu Mwananyamala ndo usiseme Temeke balaa, wao wako na Laigwani.

Inaonekana hawajui majukumu yao naomba uende ukawasaidie namna ya kuongoza Jiji kama Dar es salaam.
 
Kwani washaapishwa mpaka waanze kufuatilia hvo vitu hao wabunge na madiwani wa ukawa wagonjwa kulala chini ni tatizo LA ukawa au waliokua wameshika jiji acha tantalila kijana
 
wameanza leo kulala chini? Wakurugenzi wenye mafungu ni UKAWA? shame on u
Ulivyojiunga na ukawa ulisema jukumu lako mojawapo ni kuwasaidia ukawa namna ya kuongoza nchi, sasa wiki imepita tangu hawa ukawa washike jiji la dar es salaam hakuna chochote kilichofanyika wala hawajui waanzie wapi waishie wapi? wagonjwa muhimbili wanalala chini mashine mbovu mwananyamala ndo usiseme temeke balaa, wao wako na laigwani. Inaonekana hawajui majukumu yao naomba uende ukawasaidie namna ya kuongoza jiji kama dar es salaam.
 
Kwani washaapishwa mpaka waanze kufuatilia hvo vitu hao wabunge na madiwani wa ukawa wagonjwa kulala chini ni tatizo LA ukawa au waliokua wameshika jiji acha tantalila kijana

sasa wanamsubiri nani? nilishawambia hawa ukawa goigoi, wiki imeshapita tangu wachaguliwe hamna lolote.
 
sumaye mwenyewe ziro akili yake ya kushikiwa uwezo mwenyewe mdogo hana analojua hata kidogo.
 
Watu hawajaapa wala kukabidhiwa madaraka unanza kuwalaumu !!!!??????. Inaonekana wewe ni mmoja wa waathirika wa UKAWA hapo Dar
 
Ulivyojiunga na UKAWA ulisema jukumu lako mojawapo ni kuwasaidia UKAWA namna ya kuongoza nchi, sasa wiki imepita tangu hawa UKAWA washike jiji la Dar es salaam hakuna chochote kilichofanyika wala hawajui waanzie wapi waishie wapi?

Wagonjwa Muhimbili wanalala chini mashine mbovu Mwananyamala ndo usiseme Temeke balaa, wao wako na Laigwani.

Inaonekana hawajui majukumu yao naomba uende ukawasaidie namna ya kuongoza Jiji kama Dar es salaam.
Umevurugwa wewe
 
Ukiwa wamepagawa hawajui la kufanya,mara ICC mara ICJ,mara joshua,mara wasusie kuapishwa,ila bungeni wataenda!Najiuliza huyu sumaye sasa si ndo hapa awaongoze,mbona wanatia aibu
 
ccm wajanja wameaachia Dar wahangaike nayo.
 
Ulivyojiunga na UKAWA ulisema jukumu lako mojawapo ni kuwasaidia UKAWA namna ya kuongoza nchi, sasa wiki imepita tangu hawa UKAWA washike jiji la Dar es salaam hakuna chochote kilichofanyika wala hawajui waanzie wapi waishie wapi?

Wagonjwa Muhimbili wanalala chini mashine mbovu Mwananyamala ndo usiseme Temeke balaa, wao wako na Laigwani.

Inaonekana hawajui majukumu yao naomba uende ukawasaidie namna ya kuongoza Jiji kama Dar es salaam.

Aliyekudanganya kuwa UKAWA wana uwezo wa kuboresha huduma Hospitalini ni nani???

Je, na Mh. Rais Magufuli naye alipotembelea Hospitali ya Muhimbili naye ni UKAWA????

Tafakari kabla ya kuanzisha Thread, usiweke thread zisizokuwa na maana ambazo zinajaza Server ya JF pasipo sababu.
 
sasa nimeelewa kichwani mwa sumaye hamna kitu, na kingunge je?
 
eddy kweli unaelewa jinsi nchi hii inavyoendeshwa wewe? Ndiyo maana wenzio tulitaka katiba ibadilishwe ili uendeshaji wa nchi uwe murua. Huko Muhimbili kulikuwa na Bodi ya wakurugenzi iliyokuwa imemaliza muda wake bila ya Kuteuliwa nyingine. Na Wakati huo huo Kikwete aliteua watu kushika nyadhifa mbali mbali mpaka siku mbili kabla ya Magufuli kuapishwa, alishindwa nini kuteua bodi mpya ya Muhimbili?

Kwa taarifa yako Hospitali hizo ulizozitaja hazimilikiwi moja kwa moja na Halmashauri za Kinondoni, Ilala, Temeke au Jiji la Dar es salaam, bali zinamilikiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania (haiitwi serikali Kuu)!
 
eddy kweli unaelewa jinsi nchi hii inavyoendeshwa wewe? Ndiyo maana wenzio tulitaka katiba ibadilishwe ili uendeshaji wa nchi uwe murua. Huko Muhimbili kulikuwa na Bodi ya wakurugenzi iliyokuwa imemaliza muda wake bila ya Kuteuliwa nyingine. Na Wakati Kikwete aliteua watu mpaka siku mbili kabla ya Magufuli kuapishwa, alishindwa nini kuteua bodi mpya ya Muhimbili?

Kwa taarifa yako Hospitali hizo ulizozitaja hazimilikiwi moja kwa moja na Halmashauri za Kinondoni, Ilala, Temeke au Jiji la Dar es salaam, bali zinamilikiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania (haiitwi serikali Kuu)!

acha kutumia korodani kufikiri, mwananyamala temeke ni hospital za wilaya zitakuwaje chini ya wizara? mganga mkuu wa mwananyamala ana report kwa mkurugenzi wa wilaya na sio kwa katibu mkuu wizara ya afya.
 
Back
Top Bottom