Sumaye Hata Wewe? Tunza Heshima Yako Jiepushe

Sumaye Hata Wewe? Tunza Heshima Yako Jiepushe

Angesema anampa sapoti mtu mwenye rekodi ya ufisadi hapo kweli Mh Sumaye angejivunjia heshima yake. Ila kwa kumuunga mkono Mgufuli asiyekuwa na kashfa hapo BIG UP Mh Sumaye.
Magufuli hana kashfa? Labda sio Magufuli huyu
 
Nimesikia kutoka magazetini redioni Leo kuwa Sumaye kasema eti atazunguka nchi nzima kumpigia kampeni Magufuli kwa mujibu wa gazeti la Uhuru.

Gazeti hilo huwa siliamini lakini kama ni kweli basi ile heshima uliyokuwa umeitunza tokea ustaafu u PM miaka 10 iliyopita ndio ndio unaenda kuifuata na kuanzisha kipindi kipya cha aibu kwako na family.

Ualiyokukuta ndani ya chama hicho miaka hii michache iliyopita nilidhani ni funzo kwako kumbe ni saw a na kumpigia mbuzi gitaa. Hutakiwi humo na genge lililoshika chama sasa hivi. Labda ulipokuwa PM Luna kitu ulimfanyia huyu jamaa Jaye kwa vile ni wa visasi anakukomoa,pengine ile kauli yako ya kutumia kalamu kuingia na kutotoka kutumia bunduki ndio imekuponza.

Achana nao hao,kaa zako pembeni Fanya shughuli zingine za manufaa kwa nchi usije end a ukaibua madhaifu ya historia yako kama Mkapa mule Arumeru bure!

Usitoke CCM maana itakapo sambaratika baada ya uchaguzi, mtawafukuza hao wahuni na nyie ndio mtajenga chama imara cha upinzani nchi hii.

Huyo Sumaye sindo walewale jamani!!? Hivi hamjui kwanini watazunguka karibia wote nchi nzima kuhakikisha Mh. Lowasa haingii IKULU?!!

Wote wanajijua walifanya ubadhilifu wamali ya UMMA wamejipanga kuhakikisha Eddo boy haingii IKULU kwasababu wanajua akiingia ndani yamiezi mitatu watakua tayari wameumbuka watu wazima!
Wanajua nyumba za serikali walizopeana, zote zitarudishwa mikononi mwa UMMA!!
Wanajua mwezi mmoja tu baada ya mwanamume kukalia kiti, FEDHA zote walizotuibia nakuficha nje yanchi lazima watanyang'anywa, nazitarudishwa kwetu zitumike ktk maendeleo ya Taifa, hivyo hawataki kuskia hilo!!

Kila mwana CCM ambaye anajijua ameshiriki kwanamna moja amanyingine kuifilisi nchi hii, lazima apigane kufa nakupona kuhakikisha Mwanamume haingii ili asije kuwaumbua. Maana niwengi tu nawanajua anawajua kilammoja uchafu wake!!

Nisawa namajambazi ambao wameshirikiana miaka nenda rudi kufanya deal zao pamoja, leo wasikie mwenzao kaamua kuokoka hataki tena kufanya kazi hizo zakishetani, ameamua kwenda Msikitini ama kanisani nakutubu, nakuhapa kutorudia tena dhambi.
Mnadhani wale majambazi aliwaacha wanaendelea naujambazi watafanyajeee??!!

Lazima wahakikishe wanamsaka popote alipo iwe Kanisani, Msikitini, Nyumbani kwake nk. Hadi wahakikishe wamemtoa roho ndo nafsi zao zitatulia. Vinginevyo wanajua hawatakua salama.

Kwahiyo watanzania msitishike hata dakika1, watakuja wengi tu kuwaambia Lowasa hafai, ila lakuzingatia nihuo mfano wa majambazi. Sio kwamba hafai, bali wanajua wanakaribia kuumbuka siku sinyingiii!!!
 
Akizunguka atasaidia kumbomoa zaidi Dr. Magufuli na yeye mwenyewe, ni vema tu akafanya hivyo ili ajionee.

Sumaye naye si makapi? Ni ajabu kubwa hii, makapi kuzunguuka kwa ajili ya mgombea! Chama Cha Makapi, ni shida, shida kwelikweli.
 
Sumaye kwani wewe ndie kampeni meneja au umeamua ujipendekeze? Waliokukata wewe ndio waliompa magufuri Na ndio maana hawajakupa umeneja utaaibika mkuu

Were nadhani ndio umenielewa vizuri msingi wa hoja yangu.
Jee anakubaliana na kamati ya maadili kuwa yeye hana maadili ndio maana hata jina lake halikupelekwa katika vikao vya kikatiba kujadiliwa?
Angekuwa Membe au January au Migiro tungesema sawa maana wao wameshinda nishwa.
 
Kabila. mbona hutuelewi? Tunasema mwaka huu hatuangalii Sera wala nn.Miaka 53 ya Uhuru wanafunzi wanakalia vipande vya tofali.Miaka 53 wagonjwa watatu wanakalia kitanda kimoja hospitalini.Miaka 53 mtu anajiunga masomo ya sekondari bila kujua kusoma na kuandika.Miaka 53 ya Uhuru tunashirikiana na mifugo kuchangia visima vya maji Kama vile hatulipi kodi.Miaka 53 taifa bado Ni ombaomba huku raslimali zetu zinaishia hingkong.Leo mnataka kwenda kwenye majukwaa mtangaze Sera gani?Mwaka huu tunachagua mwanaume wa shoka.Subirini majukwaani na Sera za nu.

Kwenye bold hapo. Sasa mnataka kwenda ikulu kufanya nini kama hamna Sera?
 
kuna mtu anayeikumbuka katuni ya ziro?

Alikuwa anaandika PATTY EUSABIO( sina uhakika na spelling) kwenye gazeti la mtanzania jumapili ni siku nyingi sana hiyo katuni ipo mana niliacha kusoma gazeti la mtanzania siku labda kipindi hiki naweza anza tena kulisoma maana linaanza kuandika habari za mrengo wangu
 
Ccm ni chama cha familia ya kikwete, ila aendelee kula penseni ya upm sharti aendelee kujipendekeza kwa prince ritz, firstlady na mkulu.
 
Back
Top Bottom