Sumaye Hata Wewe? Tunza Heshima Yako Jiepushe

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,009
Reaction score
74,643
Nimesikia kutoka magazetini redioni Leo kuwa Sumaye kasema eti atazunguka nchi nzima kumpigia kampeni Magufuli kwa mujibu wa gazeti la Uhuru.

Gazeti hilo huwa siliamini lakini kama ni kweli basi ile heshima uliyokuwa umeitunza tokea ustaafu u PM miaka 10 iliyopita ndio ndio unaenda kuifuata na kuanzisha kipindi kipya cha aibu kwako na family.

Ualiyokukuta ndani ya chama hicho miaka hii michache iliyopita nilidhani ni funzo kwako kumbe ni saw a na kumpigia mbuzi gitaa. Hutakiwi humo na genge lililoshika chama sasa hivi. Labda ulipokuwa PM Luna kitu ulimfanyia huyu jamaa Jaye kwa vile ni wa visasi anakukomoa,pengine ile kauli yako ya kutumia kalamu kuingia na kutotoka kutumia bunduki ndio imekuponza.

Achana nao hao,kaa zako pembeni Fanya shughuli zingine za manufaa kwa nchi usije end a ukaibua madhaifu ya historia yako kama Mkapa mule Arumeru bure!

Usitoke CCM maana itakapo sambaratika baada ya uchaguzi, mtawafukuza hao wahuni na nyie ndio mtajenga chama imara cha upinzani nchi hii.
 
Azunguke tu lakini sidhani kama anaweza kubadili msimamo wa wananchi.
 
Ccm wapo wanatafuta namuna ya kuchomoka lakini wameshikwa pabaya.
 
Akizunguka atasaidia kumbomoa zaidi Dr. Magufuli na yeye mwenyewe, ni vema tu akafanya hivyo ili ajionee.
 
Kwani heshima yake ikishuka wewe utapata hasara gani?

Mi naona umeweweseka tu kusikia jamaa atazunguka nchi nzima maanake huwa anamchana sana Edo toka zamani.
 
Tehe tehe tehe mshaanza kutetemeka, UKAWA msipojiangalia kampeni za mwaka huu mtakua mnashindia kumsafisha Lowasa badala ya kunadi sera zenu just wait. watazunguka wengi tu nchi nzima kijiji kwa kijiji
 
Nimesikia kutoka magazetini redioni Leo kuwa Sumaye kasema eti atazunguka nchi nzima kumpigia kampeni Magufuli kwa mujibu wa gazeti la Uhuru.

Gazeti hilo huwa siliamini lakini kama ni kweli basi ile heshima uliyokuwa umeitunza tokea ustaafu u PM miaka 10 iliyopita ndio ndio unaenda kuifuata na kuanzisha kipindi kipya cha aibu kwako na family.

Ualiyokukuta ndani ya chama hicho miaka hii michache iliyopita nilidhani ni funzo kwako kumbe ni saw a na kumpigia mbuzi gitaa. Hutakiwi humo na genge lililoshika chama sasa hivi. Labda ulipokuwa PM Luna kitu ulimfanyia huyu jamaa Jaye kwa vile ni wa visasi anakukomoa,pengine ile kauli yako ya kutumia kalamu kuingia na kutotoka kutumia bunduki ndio imekuponza.

Achana nao hao,kaa zako pembeni Fanya shughuli zingine za manufaa kwa nchi usije end a ukaibua madhaifu ya historia yako kama Mkapa mule Arumeru bure!

Usitoke CCM maana itakapo sambaratika baada ya uchaguzi, mtawafukuza hao wahuni na nyie ndio mtajenga chama imara cha upinzani nchi hii.

Angesema anampa sapoti mtu mwenye rekodi ya ufisadi hapo kweli Mh Sumaye angejivunjia heshima yake. Ila kwa kumuunga mkono Mgufuli asiyekuwa na kashfa hapo BIG UP Mh Sumaye.
 
na yeye alipewa nyumba ya serikali bure tena akiwa waziri mkuu
 
Atampigiaje kampeni kivipi wakati tayari ameshajiondoa ccm
 
Sumaye anajitambua sio kama huyo waziri mkuu aliyajiuzuru kwa kashfa ya ufisadi
 
Mwzi anageuka kuwa kasisi bila kutubu. Hii nchi inakufa tunaona. Hivi ninyi manaotaka kujifanya hamjui haki za watu katika taifa hili, mnauelewa wenu au wa kushikiwa.

Angemuuza mwizi mngejisikiaje. Unampeleka panya kwenye stoo yako eti jirani stoo yake ilikuwa imetoboka. Unajua nani alitoboa?

Lowassa amepunguza watu kufikiri.
 
Sumaye kwani wewe ndie kampeni meneja au umeamua ujipendekeze? Waliokukata wewe ndio waliompa magufuri Na ndio maana hawajakupa umeneja utaaibika mkuu
 
Tanzania ya leo kuna mtu wa kumsikiliza zero kweli...???
 
Sumaye has NO EFFECT...!!! Hata ----- hamsikilizi...!!!
 
Kabila. mbona hutuelewi? Tunasema mwaka huu hatuangalii Sera wala nn.Miaka 53 ya Uhuru wanafunzi wanakalia vipande vya tofali.Miaka 53 wagonjwa watatu wanakalia kitanda kimoja hospitalini.Miaka 53 mtu anajiunga masomo ya sekondari bila kujua kusoma na kuandika.Miaka 53 ya Uhuru tunashirikiana na mifugo kuchangia visima vya maji Kama vile hatulipi kodi.Miaka 53 taifa bado Ni ombaomba huku raslimali zetu zinaishia hingkong.Leo mnataka kwenda kwenye majukwaa mtangaze Sera gani?Mwaka huu tunachagua mwanaume wa shoka.Subirini majukwaani na Sera za nu.
 
Nimesikia kutoka magazetini redioni Leo kuwa Sumaye kasema eti atazunguka nchi nzima kumpigia kampeni Magufuli kwa mujibu wa gazeti la Uhuru.

Gazeti hilo huwa siliamini lakini kama ni kweli basi ile heshima uliyokuwa umeitunza tokea ustaafu u PM miaka 10 iliyopita ndio ndio unaenda kuifuata na kuanzisha kipindi kipya cha aibu kwako na family.

Ualiyokukuta ndani ya chama hicho miaka hii michache iliyopita nilidhani ni funzo kwako kumbe ni saw a na kumpigia mbuzi gitaa. Hutakiwi humo na genge lililoshika chama sasa hivi. Labda ulipokuwa PM Luna kitu ulimfanyia huyu jamaa Jaye kwa vile ni wa visasi anakukomoa,pengine ile kauli yako ya kutumia kalamu kuingia na kutotoka kutumia bunduki ndio imekuponza.

Achana nao hao,kaa zako pembeni Fanya shughuli zingine za manufaa kwa nchi usije end a ukaibua madhaifu ya historia yako kama Mkapa mule Arumeru bure!

Usitoke CCM maana itakapo sambaratika baada ya uchaguzi, mtawafukuza hao wahuni na nyie ndio mtajenga chama imara cha upinzani nchi hii.

We unatetemeka nini sasa! Chadema zamani mtu akivaa gwanda aliitwa Kamanda leo ukivaa tu unaitwa Fisadi. Mwache afanye yake na nyinyi fanyeni yenu, wasiwasi wenu wa nini na mnadai mna mafuriko? Au watu wamechoka kusafirishwa na mabasi na meli?
 
Back
Top Bottom