huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october
Ndio mazuzu ya ccm hayo
Yeye Sumaye, Lowassa, Mbowe, Mtei, Ndesamburo, Mengi, Bakhressa, Manji, na wengine wengif tu walifanikiwa vipi chini ya huo mfumo wa CCM ambao Sumaye anaukosoa?
Kweli ww mentor
unaelewa nn maana ya news?
Kaa chonjo Magufuli anakuja
nyoka wa makengeza Sumaye kamwe hawezi kujuta kwani amejitambua na ameamua kuwapatia watanzania mabadiliko wanayoyataka nje ya mafisiemu.
Enzi zetu tulipokuwa vijana kama huyu
hatukuwahi kuwa mashabiki wa majambazi kama sumaye
sio wakushabikiwa kabisa
n hatari sana kwa taifa hili
Zuzu yule anayesinzia jukwaani na kutokwa udenda.
Enzi zetu tulipokuwa vijana kama huyu
hatukuwahi kuwa mashabiki wa majambazi kama sumaye
sio wakushabikiwa kabisa
n hatari sana kwa taifa hili
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october
Mwaka huu laxima mjifingue kabla ya siku zenu dadeeekiiiii
Akili Ndogo ni Shida kweli kweli. Mengi analalamika umasikini kila siku alafu mtu usiye na mtazamo utoa mfano kwa watu 8 ndani ya watu 48 Milioni kweli huu ni utajili?
Huo ndio ukweli mkuu
Zile pesa za escrow mlizoiba mmerudisha tayari???Sumaye arudishe mahekari ya ardhi kule mvomero na nyumba zaidi ya 5 alizonunua kwa bei ya kutupa, na atuambie miaka 10 Ya u PM wake alishindwaje kutukomboa maskini badala yake akapora mali na ardhi za wanyonge!?
Zile pesa za escrow mlizoiba mmerudisha tayari???
Sumaye huyu jamaa mbabaishaji sanaa
Ndesamburo na Mbowe nao walikuwa mafisadi?