nyoka wa makengeza
Senior Member
- Mar 25, 2015
- 114
- 21
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october
huna hoja full stop..badala yake unacheza mazingaombwe ya ukawa.Ni hilo tu au una la ziada..???
Pia tumshangae na LODI LOFA, aliwezaje kumteuwa lofa na mpumbafu kuwa waziri mkuu wake kwa miaka kumi!Kwa kweli itabidi tushangae pia mtu kma hyu aliwezaje kuwa pm kwa kipindi kirefu hicho
Pia tumshangae na LODI LOFA, aliwezaje kumteuwa lofa na mpumbafu kuwa waziri mkuu wake kwa miaka kumi!
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october
Inawezekana we ndo huelewi anachosema.kama mjinga mwenzio amechangia upuuzi wako eti sumaye alisema hakuna ccm ilichofanya.yeye na ujinga wake kama wewe kadai hamwelewi anachosema.kisa alikuwa pm,kwa kuwafungua tu tatizo sio kuwa pm.tatizo mfumo,hata huyu anayetisha watu majukwaani anajiapiza bure ameshaambiwa alinde maslahi ya chama.....angalieni vitu kwa undani msiangalie juu juu tu.
Niliwahi kumsikia akisema kwamba yeye na Mh.Mkapa walikuwa anafanya mambo yao kimya kimya bila ya kuhitisha press conferences au kujitapa tapa,aliongezea kusema watumishi wabovu wengi walikuwa wahachishwa kazi kimya kimya,pamoja na mapungufu ya hapa na pale ya Mh.Sumaye mambo mengine nakubaliana nae - wakati wa uongozi wa Mh.Mkapa Taifa letu lilirudisha heshima na kuweza kuaminiwa tena na wafadhili, mambo ya rushwa lakini hayakuwa na kasi na kiwango cha hivi sasa -hali inatisha kweli kweli PCCB hipo hipo tu kwa jina wanakazania kuwashika dagaa lakini hawana ubavu wa kuwashtaki ma mafia na waharifu sugu sasa hapo nashindwa kuelewa kama wanakwama kutokana na shinikizo la kisiasa au nini sijui! Mh.Magufuli akibahatika kushika madaraka sekta hii anapaswa kuifumua na kuihunda upya na ahakikishe ma CEO wanakuwa madarakani kwa term moja tu ya miaka mitano.Kwa kweli itabidi tushangae pia mtu kma hyu aliwezaje kuwa pm kwa kipindi kirefu hicho
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october