Watanzania tumetawaliwa na unafiki mkubwa sana. Kwanza kitendo cha Kikwete kwenda kwenye mkutano mkuu wa chama chake na kuzungumzia Sumaye na Lowasa ni UNAFIKI NA KUFILISIKA kisiasa na hata kiuongozi. Hiyo maana yake ni kwamba hotuba iliyotayarishwa iliwekwa Yale majina, kwa faida gani kwa Watanzania? Mtu aliyekaa Ikulu kwa miaka kumi na aliyekuwa mwenyekiti wa chama miaka kumi, halafu anamalizia kwa kutoa vijembe ni kukosa uvumilivu, kutawaliwa na umbea na unafiki ktk maisha. Lakini pili, Sumaye na Lowasa sasa ni wanachama wa Chadema, wao kushika wadhifa wowote ni wajibu na haki yao kama wanachama. Suala la kwàmba mtu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu kushika madaraka ya chama ngazi za kawaida kuonekana ni kushuka thamani ni matokeo ya fikra mgando tulizolishwa na tunazoendelea kulishwa na Ccm. Na huo ndiyo UNAFIKI wa wanaccm. Mbona Urusi Putin alishika Urais, akarudi kwenye Uwaziri Mkuu na kisha Urais tenà? Na kwa nini kukaa unamfikiria mtu aliyekwisha kuondoka kwenye chama chenu? Taifa linabaki kushuhudia unafiki kwa watu walioaminiwa na wananchi na kucheza vigodoro tu kama kwamba dunia inatusubiri. Tunavaa mamitumba kwa sababu ya unafiki wenu viongozi, na kamwe hatutakaa tufanikiwe kupata maendeleo.Kutoka Waziri Mkuu wa Tanzania mpaka kugombea Umwenyekiti wa Chama Kanda halafu bado anaiambia CCM ikae chonjo kwa sababu yeye ni mgombea wa Uenyekiti wa Kanda.
Sumaye wa leo anayegombania cheo na Kubenea ndiye anayeiambia CCM ikae chonjo. This is fun to say the least.
Bora hata Mbowe akisema CCM akae chonjo unaweza kumsikiliza kwa makini kwa sababu hajawahi kuwa serikalini.
Kikwete amempiga vijembe kweli kweli na vijembe vimemfanya atoke ndani ya pango na kuanza kupiga kelele.
Huwezi kusikia ukiwa na akili za bendera kwani hazihitaji uchunguzi na utafiti, mara nyingi zinaongozwa na tumbo tu.Kumbe Kamati Kuu imefanyika? Ndo kwanza nasikia hapa
Mkuu labda umesahau kuwa hata alipokuwa ccm aligombea sana hanang nafasi ya Nec, pia tambua Migiro alikuwa top pale UN leo hii kapelekwa ubalozini mwisho huyo aliyempiga vipjembe alikuwa mkuu wa nchi leo ni mkuu wa chuoKutoka Waziri Mkuu wa Tanzania mpaka kugombea Umwenyekiti wa Chama Kanda halafu bado anaiambia CCM ikae chonjo kwa sababu yeye ni mgombea wa Uenyekiti wa Kanda.
Sumaye wa leo anayegombania cheo na Kubenea ndiye anayeiambia CCM ikae chonjo. This is fun to say the least.
Bora hata Mbowe akisema CCM ikae chonjo unaweza kumsikiliza kwa makini kwa sababu hajawahi kuwa serikalini.
Kikwete amempiga vijembe kweli kweli na vijembe vimemfanya atoke ndani ya pango na kuanza kupiga kelele.
Ninyi endeleeni kumshangilia kwa mapambio na chereko..Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Fredrick Sumaye ameitaka CCM kukaa chonjo kwani Chadema imedhamiria kutwaa dola mwaka 2020 na haitishwi na porojo za chama hicho hicho kinachoonyesha wazi kufilisika.
Sumaye amesema anayo kazi moja tu ya kukitumikia Chadema na kukieneza kuanzia vitongojini na wala hashtushwi na watu wanaomsakama kwani wanaonyesha hofu kubwa waliyo nayo kwake.
Sumaye alizungumza kwa kifupi sana wakati anaingia ndani ya kikao cha Kamati Kuu Chadema kutokana na swali aliloulizwa na mwandishi kuhusu jina lake kuwa kama agenda kwenye mkutano mkuu wa CCM leo.
Jina la Sumaye lilitawala ndani ya mkutano mkuu huo ambaye alitajwa sana kwa kejeli na viongozi kadhaa waliopata nafasi ya kuzungumza ndani ya mkutano huo.
Hiyo ni kuashiria Waziri mkuu huyo mstaafu ni kati ya watu wanaoitia kiwewe CCM.
Kutoka Waziri Mkuu wa Tanzania mpaka kugombea Umwenyekiti wa Chama Kanda halafu bado anaiambia CCM ikae chonjo kwa sababu yeye ni mgombea wa Uenyekiti wa Kanda.
Sumaye wa leo anayegombania cheo na Kubenea ndiye anayeiambia CCM ikae chonjo. This is fun to say the least.
Bora hata Mbowe akisema CCM ikae chonjo unaweza kumsikiliza kwa makini kwa sababu hajawahi kuwa serikalini.
Kikwete amempiga vijembe kweli kweli na vijembe vimemfanya atoke ndani ya pango na kuanza kupiga kelele.
Usiwe mvivu wa kufahamu mkuu..Kunawengine nao kutoka uraisi hadi ukuu wachuo.
But the true is....
We are being targeted while they are sitting safe and sound in their palaces
Usiwe mvivu wa kufahamu mkuu..
Tony Blair alipomaliza uwaziri mkuu wa uingereza mbona alienda kuwa lecturer chuo kikuu.. na hakuna aliyeona ni ajabu...
Nafasi kama za kina Blair na Marais wataafu wanapokua wakuu wa vyuo hazimo kwenye Political Avenue... hivyo hakuna la kushangaa hapo..
Tofauti na huyo aliyekwenda mchangani kugombea uenyekiti wa kanda ambayo ni nafasi ya kisiasa... Kwenye ulingo wa kisiasa huyo kaporomoka wala huitaji degree kulifahamu hilo..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haaya buana..Sasa ili uridhik nae aende kuwa lecture o mkuu wa chuo?, haya maisha yana utofauti, ukiwa juu na ukishuka chini itasomeka hivyo hivyo na kwawengine, furaha kwa umpendae usiempenda hata akufurahishe vipi hutaacha kumdhihaki.
Wewe unaakili na hodari wa kufikiri.
But the true is....
We are being targeted while they are sitting safe and sound in their palaces
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haaya buana..
si mnamahakama ya mafisadi,nini kinasababisha msiwakamate hadI leo?Acha unaaaLazima tuwakumbuke mafisadi papa
Nawaona mlivyojipanga hapo
Kumbe Kamati Kuu imefanyika? Ndo kwanza nasikia hapa
Hivi tangu uanze kutetea kila ovu la CCM, umewahi hata kuwaza watoto wako wataishije baada ya CCM kutoka madarakani?By the way, ahsante Molemo kwa.kumjibia Wa Mchangani. Swali langu kwako, je ulifanikiwa kumtekodi wakati akitoa ufafanuzi huo?
Mkuu Molemo una roho ngumu. Nasikia vijana wenu wamejilipa pesa za posho? Laigwanan hajasema kitu?Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Fredrick Sumaye ameitaka CCM kukaa chonjo kwani Chadema imedhamiria kutwaa dola mwaka 2020 na haitishwi na porojo za chama hicho hicho kinachoonyesha wazi kufilisika.
Sumaye amesema anayo kazi moja tu ya kukitumikia Chadema na kukieneza kuanzia vitongojini na wala hashtushwi na watu wanaomsakama kwani wanaonyesha hofu kubwa waliyo nayo kwake.
Sumaye alizungumza kwa kifupi sana wakati anaingia ndani ya kikao cha Kamati Kuu Chadema kutokana na swali aliloulizwa na mwandishi kuhusu jina lake kuwa kama agenda kwenye mkutano mkuu wa CCM leo.
Jina la Sumaye lilitawala ndani ya mkutano mkuu huo ambaye alitajwa sana kwa kejeli na viongozi kadhaa waliopata nafasi ya kuzungumza ndani ya mkutano huo.
Hiyo ni kuashiria Waziri mkuu huyo mstaafu ni kati ya watu wanaoitia kiwewe CCM.
Chadema pia hawawezi kufanya mkutano bila kuitaja ccmNaona unaweweseka maana umetoka kwenye amipasho na siyo hoja ccm bila kuitaja chadema kinakua siyo chama
Daah hivi mnapitia post kabla hamjazi post kumtekodi ndio nnBy the way, ahsante Molemo kwa.kumjibia Wa Mchangani. Swali langu kwako, je ulifanikiwa kumtekodi wakati akitoa ufafanuzi huo?
Unafahamu ni kwanini JK anampiga vijembe Sumaye? Wenzako wanafahamu Sumaye anahusika sana na kuinyang'anya nguvu CCM Dar es Salaam katika uchaguzi wa mwaka jana. Vijembe vya JK kwa Sumaye havina tafsiri yako, wenzako wanafahamu kuwa Sumaye sio wa kumdharau kama wewe unavyojaribu kuonyesha hapa. Kwanini JK asiwapige vijembe akina Dovutwa ambao hawajawahi kuwa na hata kiongozi wa serikali ya mtaa? Jiongeze bwana !Kutoka Waziri Mkuu wa Tanzania mpaka kugombea Umwenyekiti wa Chama Kanda halafu bado anaiambia CCM ikae chonjo kwa sababu yeye ni mgombea wa Uenyekiti wa Kanda.