Elections 2010 Sumaye atajwa kumvaa Kikwete uchaguzi 2010

Wote BABA MOJA, mama mbalimbali. It does not make much difference.

Mtoto wa nyoka ni nyoka.
 
Inaelekea wewe hukumpata vizuri Sheikh Yahya Hussein! The following morning atakuwa marehemu siyo Kisutu.:frown:

Kha! Bradha, kumbe wewe ni mmoja wa waumini wa shehe feki Yahya?
Hivi kama tutaishi kwa utabiri wa Yahya unadhani nchi tutaipeleka wapi? Badilika bro.
Kikwete ni binadamu ambaye anakosea kama walivyo binadamu wengine, kwa hiyo kupingwa si ajabu na ni haki ya kikatiba ya wanaompinga.
 
karibu sana babaangu...leigwanani na ww jitokeze na wengine pia. mchuano mwaka huu najua biasara ya magaseti itakuwa juu kama fimbo ya morani. hata aje kaburu au smith sijui toka UK ....wote hao je yuko mwenye moyo wa dhati kumsaidia Mtz kuondoka katika lindi la umaskini??/
 

Kha! Bradha, kumbe wewe ni mmoja wa waumini wa shehe feki Yahya?
Hivi kama tutaishi kwa utabiri wa Yahya unadhani nchi tutaipeleka wapi? Badilika bro.
Kikwete ni binadamu ambaye anakosea kama walivyo binadamu wengine, kwa hiyo kupingwa si ajabu na ni haki ya kikatiba ya wanaompinga.

It is better you read between the lines!
 
Kwa mtizamo wangu.... Hakuna hata mmoja anefaa. Awe wa upinzani au wa CCM. Ajitokeze mutu mupya kabisaaa ambae hata hatijawahi kumsikia na sera zake mpya kabisaaa, azinadi zitukomboe. Hapa hamna ki2 mazee..
 
Hakuna mtu yeyote mwenye future anaweza kumchokoza Kikwete! maana anajua ili mipango yake ifanikiwe anahitaji nguvu yake,alafu watu wengi walioko upande huo wako kimaslahi zaidi,we chukulia mfano kidogo kutoka kwa wenzentu Wakenya si mlijionea wenyewe kwenye mtafarukuule wa uchaguzi fasta tu Kalyonza Msyoka akaibukia upande wa Kibaki na kuukwaa umakam wa rais! we unafikiri ni kwa nn tume za uchaguzi huwa wanawahi kutangaza mshindi,ili wale wote wenye mioyo dhaifu na wachumia tumbo waende haraka upande wao.
 
Back
Top Bottom