Sumaye asema mchimba kaburi hachoki lazima amalize

Sumaye asema mchimba kaburi hachoki lazima amalize

Mwambieni huyo Sumaye wenu kuwa akome kusema dini za watu za wavaa hirizi na kusimanga makaburi.Mimi Sumaye simpendi sura yake.

Hata ukimtizama usoni sura imekaa kitapeli tapeli awe anahutubia au kukuangalia usoni unaona kabisa huyu ni kama tapeli

Sumaye na Lowasa hawajui kuhutubia sababu wabebwa bebwa tu kuwa mawaziri wakuu

Acha kuweweseka na kutoka mapovu, punguza jazba.

Ukisema wabebwa una maana wale waliomchagua ni punguani?????

Wana vigezo vya kutosha ndio maana walichaguliwa.

Changia mada acha kuweweseka. CCM siyo baba yako na siyo mama yako.

CCM ilianza na inakuwa na mwisho, hakuna chenye mwanzo kikakosa mwisho. na mwisho wa CCM ndio huu mwaka wake.

Nadhani wewe ni mjumbe wa Nyumba kumi hapo mtaani kwako, hivyo hiyo bendera ya rangi ya kijani yenye nembo ya jembe na nyundo, iweke kabatini kwani kuanzia tarehe 26/10/2015 haina maana tena, ni sawa na Toilet paper tu hiyo.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
CHADEMA hawawezi pata kura za waislamu wengi sababu ya kufuru kama hizi.Kaburi kwa waislamu ni sehemu ya kuheshimiwa.Kaburi kwa mwislamu ni sehemu adhimu azikwapo mtu sio chama.Kusema kaburi ni la kuzikia chama ni ukafiri uliopindukia.Kila muislamu amemsikia Sumaye na kufuru zake.

Katika hotuba zake zingine alitukana watu wa Pwani kwa kutukana hirizi zao aliposema kuwa kama Kuna hirizi ikulu aondoke Walioko ikulu waondoke nazo ili wao waingie.Hirizi ni imani kama imani ya dini yoyote.Hivi Sumaye hakujua kuwa alipokuwa akihutubia kulikuwa na wavaa hirizi kibao mkutanoni? Anataka kuwaambiaje kuwa hirizi zao mbaya?
Watu wa Pwani wengi hupenda kuvaa hirizi kwa hiyo aligeuza mkutano wa siasa kuwa wa Injili kuwahubiria watu wasivae hirizi ikulu wavae misalaba ya kilutheri?

Acha kupigia debe uchawi na USHIRIKINA Yesu ameamua kuwakomesha, uchawi hauna nafasi tena nchini, unapigia debe hirizi? duh!
 
CHADEMA hawawezi pata kura za waislamu wengi sababu ya kufuru kama hizi.Kaburi kwa waislamu ni sehemu ya kuheshimiwa.Kaburi kwa mwislamu ni sehemu adhimu azikwapo mtu sio chama.Kusema kaburi ni la kuzikia chama ni ukafiri uliopindukia.Kila muislamu amemsikia Sumaye na kufuru zake.

Katika hotuba zake zingine alitukana watu wa Pwani kwa kutukana hirizi zao aliposema kuwa kama Kuna hirizi ikulu aondoke Walioko ikulu waondoke nazo ili wao waingie.Hirizi ni imani kama imani ya dini yoyote.Hivi Sumaye hakujua kuwa alipokuwa akihutubia kulikuwa na wavaa hirizi kibao mkutanoni? Anataka kuwaambiaje kuwa hirizi zao mbaya?
Watu wa Pwani wengi hupenda kuvaa hirizi kwa hiyo aligeuza mkutano wa siasa kuwa wa Injili kuwahubiria watu wasivae hirizi ikulu wavae misalaba ya kilutheri?

wacha upumb.avu wewe mimi ni muislamu na ninapiga kampe msikitini kimya kimya sababu ninayowapa wamedanganywa na mahakama ya kadhi na bakwata imeanzishwa na ccm kwa lengo lao maalum na wananielewa kura kwa ukawa
 
Huyu Mr.zero sumaye sitak hata kumsikia,alimuwa wazir mkuu kibur,jeuri na mwenye lugha za kuhadaa,leo kaanza kufilisika alitaka kurud tena kutupiga wakamkata anawaambia nn,aliyajua hayo kwann alitaka kuingia tena huko angetoka bila kukatwa,mahesabu yake ni kugombea urahis wa nchi hii tena kwa ukawa hilo halipo.hana cha kutuambia sasa tukamuelewa

zibamasikio alafu kalale amkaa after 25th october 2015, cheers
 
Back
Top Bottom