NGOMAYAMPWITA
Member
- Aug 23, 2015
- 32
- 19
Mh Sumaye amewaasa vijana nchini kumalizia kaburi hili la kuizika CCM tarehe 25 oktoba 2015 kwani mkisema mmechoka marehemu anakosa haki yake ya kuzikwa salama.
Mh sumaye amewaasa vijana nchini kumalizia kaburi hili la kuizika ccm tarehe 25 oktoba 2015 kwani mkisema mmechoka marehemu anakosa haki yake ya kuzikwa salama

wewe uko wapi umesikia riport ya twawezaHaa haa haaaa .toka nizaliwe ndio nimesikia Leo hii methali .hakika ccm inazikwa Mwaka huu.
CHADEMA hawawezi pata kura za waislamu wengi sababu ya kufuru kama hizi.Kaburi kwa waislamu ni sehemu ya kuheshimiwa.Kaburi kwa mwislamu ni sehemu adhimu azikwapo mtu sio chama.Kusema kaburi ni la kuzikia chama ni ukafiri uliopindukia.Kila muislamu amemsikia Sumaye na kufuru zake.
Katika hotuba zake zingine alitukana watu wa Pwani kwa kutukana hirizi zao aliposema kuwa kama Kuna hirizi ikulu aondoke Walioko ikulu waondoke nazo ili wao waingie.Hirizi ni imani kama imani ya dini yoyote.Hivi Sumaye hakujua kuwa alipokuwa akihutubia kulikuwa na wavaa hirizi kibao mkutanoni? Anataka kuwaambiaje kuwa hirizi zao mbaya?
Watu wa Pwani wengi hupenda kuvaa hirizi kwa hiyo aligeuza mkutano wa siasa kuwa wa Injili kuwahubiria watu wasivae hirizi ikulu wavae misalaba ya kilutheri?

acha ushamba hata sisi tuna dini zetu.
Utumbo wa samaki, kwani wakristu wanazikwa juu ya miti
kwanini usiielezee tu kiubinadamu hadi uingize dini
Mh Sumaye amewaasa vijana nchini kumalizia kaburi hili la kuizika CCM tarehe 25 oktoba 2015 kwani mkisema mmechoka marehemu anakosa haki yake ya kuzikwa salama.
Mwambieni huyo Sumaye wenu kuwa akome kusema dini za watu za wavaa hirizi na kusimanga makaburi.Mimi Sumaye simpendi sura yake.
Hata ukimtizama usoni sura imekaa kitapeli tapeli awe anahutubia au kukuangalia usoni unaona kabisa huyu ni kama tapeli
Sumaye na Lowasa hawajui kuhutubia sababu wabebwa bebwa tu kuwa mawaziri wakuu
CHADEMA hawawezi pata kura za waislamu wengi sababu ya kufuru kama hizi.Kaburi kwa waislamu ni sehemu ya kuheshimiwa.Kaburi kwa mwislamu ni sehemu adhimu azikwapo mtu sio chama.Kusema kaburi ni la kuzikia chama ni ukafiri uliopindukia.Kila muislamu amemsikia Sumaye na kufuru zake.
Katika hotuba zake zingine alitukana watu wa Pwani kwa kutukana hirizi zao aliposema kuwa kama Kuna hirizi ikulu aondoke Walioko ikulu waondoke nazo ili wao waingie.Hirizi ni imani kama imani ya dini yoyote.Hivi Sumaye hakujua kuwa alipokuwa akihutubia kulikuwa na wavaa hirizi kibao mkutanoni? Anataka kuwaambiaje kuwa hirizi zao mbaya?
Watu wa Pwani wengi hupenda kuvaa hirizi kwa hiyo aligeuza mkutano wa siasa kuwa wa Injili kuwahubiria watu wasivae hirizi ikulu wavae misalaba ya kilutheri?
Mkuu wewe ndiye unawatukana waislamu kwa kusema kuwa ni wavaa hirizi kama walivyo wakristo kwa misaraba hiyo imeandikwa aya gani katika korahani tukufu.Mwambieni huyo Sumaye wenu kuwa akome kusema dini za watu za wavaa hirizi na kusimanga makaburi.Mimi Sumaye simpendi sura yake.
Hata ukimtizama usoni sura imekaa kitapeli tapeli awe anahutubia au kukuangalia usoni unaona kabisa huyu ni kama tapeli
Sumaye na Lowasa hawajui kuhutubia sababu wabebwa bebwa tu kuwa mawaziri wakuu
Mwambieni huyo Sumaye wenu kuwa akome kusema dini za watu za wavaa hirizi na kusimanga makaburi.Mimi Sumaye simpendi sura yake.
Hata ukimtizama usoni sura imekaa kitapeli tapeli awe anahutubia au kukuangalia usoni unaona kabisa huyu ni kama tapeli
Sumaye na Lowasa hawajui kuhutubia sababu wabebwa bebwa tu kuwa mawaziri wakuu
wewe uko wapi umesikia riport ya twaweza
umelogwachadema hawawezi pata kura za waislamu wengi sababu ya kufuru kama hizi.kaburi kwa waislamu ni sehemu ya kuheshimiwa.kaburi kwa mwislamu ni sehemu adhimu azikwapo mtu sio chama.kusema kaburi ni la kuzikia chama ni ukafiri uliopindukia.kila muislamu amemsikia sumaye na kufuru zake.
Katika hotuba zake zingine alitukana watu wa pwani kwa kutukana hirizi zao aliposema kuwa kama kuna hirizi ikulu aondoke walioko ikulu waondoke nazo ili wao waingie.hirizi ni imani kama imani ya dini yoyote.hivi sumaye hakujua kuwa alipokuwa akihutubia kulikuwa na wavaa hirizi kibao mkutanoni? Anataka kuwaambiaje kuwa hirizi zao mbaya?
Watu wa pwani wengi hupenda kuvaa hirizi kwa hiyo aligeuza mkutano wa siasa kuwa wa injili kuwahubiria watu wasivae hirizi ikulu wavae misalaba ya kilutheri?
Haa haa haaaa .toka nizaliwe ndio nimesikia Leo hii methali .hakika ccm inazikwa Mwaka huu.
Kwa hiyo makaburi walutheri nyie huwa mnazikia vyama vya siasa na mchungaji wenu huwa anasomea litulugia? Makaburi hayana heshima kwenu? Unaweza sema kazi ya Kabri ni kuzikia chama? Sio kufuru hiyo?