Sumaye amponda Lowassa

Sijui Lowassa atajitetea vipi na hili dongo la rushwa anazozitoa misikitini na makanisani ili Viongozi wa nyumba hizo za ibada wampigie debe la nguvu kwa waumini wao kuelekea katika uchaguzi wa 2015.
Kipindi hicho BAK bado ana akili timamu. Njaa mbaya sana, ndio maana waswahili husema " adui mwombee njaa"> Leo amenunuliwa laptop na smartphone na LOwasa, kayasahau yote hayo
 
Kipindi hicho CCM ilikuwa sifa ni kumwaga hela. Huku chadema hakuna mambo hayo kama hataki anaruhusiwa kuondoka.
Sio kweli ndio maana tulimchinja..huko pesa zake naona zinaishia kwenye mifuko ya kina mbowe na kina lema
 
Sijui Lowassa atajitetea vipi na hili dongo la rushwa anazozitoa misikitini na makanisani ili Viongozi wa nyumba hizo za ibada wampigie debe la nguvu kwa waumini wao kuelekea katika uchaguzi wa 2015.
Hivi Lowassa aliwahi kutoa utetezi wa dongo hiki la Sumaye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…