Sumaye amponda Lowassa

lowasa ataendelea kuwa lowasa nyie piganeni vikumbo mtajibebs lowasa ulipo tupo
 
Acha ujinga wewe hebu onyesha popote pale nilipojiumbua badala ya kukurupuka. Huwa sibadili misimamo yangu kipuuzi puuzi.
Kwa hiyo kwa hoja yako kuhusu Edo kuwanunua wapiga kura ni sahihi kabisa?
 
Watu wanafiki jamani?
Yaliyopita sio ndwele...
Yashapita hayo.

Kuna mnafiki zaidi ya huyu BAK?

 
Sijui Lowassa atajitetea vipi na hili dongo la rushwa anazozitoa misikitini na makanisani ili Viongozi wa nyumba hizo za ibada wampigie debe la nguvu kwa waumini wao kuelekea katika uchaguzi wa 2015.
Anasubiria 2019 aanze tena....
 
sumaye mara nyingi usema ukweli nakumbuka kauli yake kuwa "anaetumia vyombo vya habari kuingia madarakani atatumia risasi za moto awapo madarakani"
Bado unaamini kuwa anasema ukweli?......BTW siku hizi anaitwa wa mchangani
 
BAK itabidi abadilishe ID maana kwa siku tatu mfululizo nyuzi zake za awali zinazidi kumuumbua.
 
....kumbe issue ya 2013!
 
Mkuu unajitetea, kama sasa hivi unamsapoti Lowassa, basi u mnafiki kwa kiwango cha satelite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…