Sumaye amponda Lowassa

Hahahahahah nimecheka baada ya kuisoma hii kibaraka, alafu utakuta punguwani kama huyu anaita wasio kubali upinzani hawajitambui
Njaa mbaya sana kajama kanazidi kujiumbua.... Huwa najiuliza akili za wana Chadema zikoje?
 
Mie nilishagundua kuwa nchi hii hakuna upinzani wenye dhamira ya dhati kushika dola.

Ni wachumia tumbo tu, na wajasiliamali. Ama wanakuwa 'fooled' na viongozi wao.

Kuna mdau mmoja humu aliwahi sema hivi: "SIASA NI BIASHARA, adui akileta 'dili' tunaenda sawa".

Pia kuna mdau mwingine humu yeye alisema hivi: "NJAA kitu kibaya sana. Hakuna shujaa kwenye NJAA, yaweza kumfanya mtu akala matapishi yake" !!!

-Kaveli-
 
Watu wanafiki jamani?
Yaliyopita sio ndwele...
Yashapita hayo.
Tunataka tuone wanafiki wazi.....

Mtu ukiwa mnafiki hivi ujue hata familia yako huwezi kuisimamia
 
Mnyukano. Kifo cha CCM kiko mikononi mwa Lowassa. Wanaompinga ni sawa na wanaompenda. Mkimmeza moto, mkimtema moto pia.
Ccm walivuka hicho kihunzi 2015 mkuu.
Walimkata akahamia Chadema ambayo nayo ilijigeuza kuwa Ukawa ambayo nayo siku hizi ni Ukuta.
 
Watu wanafiki jamani?
Yaliyopita sio ndwele...
Yashapita hayo.
Tanzania Daima na wafute maneno yao.
Wasipofuta ni wanafiki wakubwa.
Yaliyopita si ndwele, lakini uungwana ni kitendo.
 
Hahahahahah nimecheka baada ya kuisoma hii kibaraka, alafu utakuta punguwani kama huyu anaita wasio kubali upinzani hawajitambui
Anasema wengine hawajitambui huku misipa ya shingo imesimama wakati yeye ndiye hajitambui.
 
Watu waliokula pesa za edo sasa ndo wanakula matapishi yao halafu wanataka waendelee kuaminika
 
HABARI YA 2013
 
Endeleeni na huu mchezo wenu very soon nitawaumbua. Ngoja niendelee kukusanya data.
 
Acha ujinga wewe hebu onyesha popote pale nilipojiumbua badala ya kukurupuka. Huwa sibadili misimamo yangu kipuuzi puuzi.

Njaa mbaya sana kajama kanazidi kujiumbua.... Huwa najiuliza akili za wana Chadema zikoje?
 
Kuna MOD buku 7 yuko busy kufukunyua threads zangu za miaka ya nyuma, labda kwa akili yake fupi anadhani kutatokea contradiction ya msimamo wangu miaka ya nyuma na sasa.

Anajisumbua sana mimi huwa sikurupuki na kuwa mfuata upepo hivyo kuyumbishwa leo unasema kauli hii, kisha kesho unabadili kauli ili mradi hujitambui.

Aisee naona kuna watu wamekuamulia kweli!
 
Sijui Lowassa atajitetea vipi na hili dongo la rushwa anazozitoa misikitini na makanisani ili Viongozi wa nyumba hizo za ibada wampigie debe la nguvu kwa waumini wao kuelekea katika uchaguzi wa 2015.
watanzania walikuelewa, wakamuadhibu kwenye sanduku la kura, sasa ivi unalialia kuwa kaibiwa kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…