Sumaye amponda Lowassa

Tatizo lako wewe taahira umeshindwa kuuweka uzandiki wangu hadharani, na wala hujui nini maana ya neno uzandiki. Mie na hao mafisadi sumaye na Lowassa wapi na wapi? Kuukimbia umande ndiyo matatizo yake sasa unatumika mjini ili uweze kwenda choo.

Mzandiki katika ubora wako. JF inazidi kukuvua boxer/thong kila kukicha
 
Njia ya muongo na mnafiki ni fupi sana.

Bawacha kwisha habari yao
 
Dr Slaa alipokuwa akibwaga manyanga aliuliza swali hili.
Kufuatia ujio wa Lowasa ndani ya Chadema, je Lowasa ni asset au liability kwa Chadema?
Ngoja tuendelee kusubiri majibu yanayoletwa kadiri muda unavyo yoyoma.
 
Wameanza kurudi kwao
Hongera Kwa kusimamia unachoamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Wachache Sana wanamapinduzi ya ukweli.....
Unasimamia unachoamini kwelikweli.....
Keep it up!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…