Sumaye ammaliza Lowassa badala ya kunadi

Mbona umepaniki Blaza?
 
Sitaki wanipe pesa ila tu waendeleze huduma bora za jamii kama maji elimu na hospital

Unataka serikali ya kuleta maji, elimu na hospital tu? Nafikiri hujui majukumu ya serikali kwa RAIA wake. Kwa uelewa wako huyo jitathimi kama unafaa kupiga kura.
 
CONSTRUCTIVE THOUGHT haueleweki. Yaani kila mchangiaji (bila kujadili itikadi au mrengo) umemgongea like. Nilichoamua ni kukupa like pia.
 
Unataka serikali ya kuleta maji, elimu na hospital tu? Nafikiri hujui majukumu ya serikali kwa RAIA wake. Kwa uelewa wako huyo jitathimi kama unafaa kupiga kura.
Hapo nimeongelea mambo ya kawaida ambayo ccm imeshindwa.. Swala la serikali ni kukuza uchumi wa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…