Sumaye ammaliza Lowassa badala ya kunadi

toka nimejua gazeti hakuna siku hili gazeti limeandika habari za ukweli juu ya upinzani


kwa kulisoma jina lako tu!!! Hauonekani kama mtu anayetaka kujua ukweli kuhusu chadema na ukiwa wenu..... Tumeshawatambua na tumeshafanya maamuzi...na tuna kazi moja kuhamasishe wasio jitambua wawatambue....hakuna kurudi nyuma....

Magufuli for change we can believe in!
 


Ulishaugua GONO ya akili...?

If not, ur SUFFERING from mental sickness or hysteria...!!!

Otherwise, You are walking dead..!!!
 

Hamna akili za kuwasaidia wasiojitambua isipokuwa ninyi ndio mnahitaji msaada ili mjitambue na kutambua hali iliyopo.Mnamiliki makampeni meneja vilaza wenye akili ndogo na midomo michafu na roho za uchochezi.Mtu anayejitambua huwa anapima kauli kabla haijafika nje ya mdomo pia mtu anayejitambua hawezi kumponda mtu aliye juu yake kwa kuwaridhisha watu wachache.Vichwa vikubwa akili ndogo na nguvu nyingi kuliko maarifa ni kipimo cha kutokujitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…