Sumaye: A political liabitity for Lowassa

Sumaye: A political liabitity for Lowassa

Not bringing up Magufuli in a thread where members are discussing whether Sumaye is a liability or an asset to Lowassa could be a simple definition of objectivity that can fit you. I would urge you to familiarize yourself with "Muongozo wa Sheria ya kupata mgombea wa uraisi" from NEC's "Sheria ya Uchaguzi" before coming to spitt here "They are just keeping him around in case Lowassa drops out" .

What has Mr Magufuli got to do with this? ?HELLO wake up brother; Even if you support Lowasa, it doesn,t mean you stop thinking
 
Who are you by the way kiasi kwamba tuamini rating yako ni significant

Sumaye is doing really well for ukawa, answajibu Yale maupuuzi upuuzi yao

Try to write only in swahili or English: I don,t get the mixture you have written.

I am simple of JF since Feb 2009, thats who I am.
 
So you have started a thread here expecting to have Contributions from Same level of thinking like your's only ?!?!?
I think you should channel this post to Facebook.

Poor your Teachers,Pathetic

Perhaps this post is not for you: Small minds like you are really annoying, this one is for thinkers not mihemkos,, okay my brother from another mother.
 
What has Mr Magufuli got to do with this? ?HELLO wake up brother; Even if you support Lowasa, it doesn,t mean you stop thinking

You started a thread and yet you are lazy to read or you read what people are writing with a skewed mind. You wouldn't ask such a question!
 
He's a POLITICAL LIABILITY, during his tenure as the premiere that's when a lot of BAD DEALS kicked off.
In terms of inspiring undecided voters, he does nothing but puking! He talks totally trash. He's a negative dense to Lowassa's compaign.
 
zero means nothing, and it sometimes mean total destruction; if you multiply zero by ten you will get zero. Your efforts will mean nothing if you multiply them by zero, when we say zero we mean sumaye (r.i.p)

signed, sealed and delivered.
 
You must understand that, all over the country people have been speaking one voice against CCM. Change out of CCM is what matters to them.

What's the alternative of that 'change out ccm'? Lowassa with Sumaye as the compaign manager? holy HELL NO!
 
Magufuli katika Ubora wake

Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Handeni mkoa wa Tanga.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Handeni katika mkutano wa hadhara uliofanyika Handeni mkoani Tanga.
Wagombea Udiwani katika kata mbalimbali jimbo la Handeni, wakinyoosha mikono, waliponadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo la Handeni mkoani Tanga. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM, Angella Kizigha.
Mwandishi wa habari aliyeko katika msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, wa kampeni za CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo jimbo la Handeni mkoa wa Tanga.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akionyesha ilani ya CCM, kabla ya kumkabidhi Mgombea Ubunge jimbo la Handeni Vijijini, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Handeni Mjini mkoani Tanga.
Aliyekuwa Muomba ridhaa ya CCM, kugombea Ubunge jimbo la Handeni Vijijini, John Sallu, akimnadi Mgombea aliyepitishwa na CCM katika kura za Maoni, Mboni Mhita, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Handeni Mjini mkoani Tanga.
Mgombea Ubunge jimbo la Handeni Vijijini, Mboni Mhita akihutubia mkutano wa kampeni katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Handeni Mjini mkoani Tanga
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mgombea Ubunge jimbo la Handeni Vijijini, Mboni Mhita, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, katika jimbo la Handeni Mjini mkoani Tanga leo.
Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipopita katika kijiji cha Msente, akiwa njiani kwenda kuhutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kilindi mkoani Tanga.
Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipopita katika kijiji cha Kwediboma, akiwa njiani kwenda kuhutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kilindi mkoani Tanga.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mgombea Ubunge jimbo la Kilindi, Omar Kigua, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Tanga.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kilindi mkoa wa Tanga.
Umati wa wananchi ukiwa umefurika katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kibirashi leo katika jimbo la Kilindi mkoa wa Tanga leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizmnadi Mgombea Ubunge jimbo la Kilindi mkoani Tanga, Omari Kigua katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi waliozuia msafara wake wakati akitoka Kilindi kwenda Kiteto kuhutubia mkutano wa kampeni.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi waliozuia msafara wake wakati akitoka Kilindi kwenda Kiteto kuhutubia mkutano wa kampeni.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Kiteto kabla ya kwenda Uwanjani kuhutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kiteto
Wananchi wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Kiteto
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Kiteto mkoani Manyara leo.
Wananchi wakimshangilia mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara.
Vijana wakijitahidi kukaa popote kuhakikisha wanamuona Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi Mama Samia, uliofanyika leo katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara leo
Mgombea Mwenza a Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akimnadi mgombea Ubunge jimbo la Kiteto mkoani Manyara, Emmanuel Papian John, katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo.
Wagombea wa Udiwani katika jimbo la Kiteto wakinyoosha mikono baada ya kunadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara leo.
Mbunge wa Nchemba, Juma Nkamia akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Dodoma
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nchemba mkoani Dodoma leo.
Baadhi ya wagombea Udiwani jimbo la Nchemba, wakinyoosha mikono, baada ya kunadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, katika jimbo hilo mkoa wa Dodom
 
Keep it simple for stupids - more likely! I am glad that I got to you the second time. At least you understand why Sumaye is a liability even though you are in denial!
Wake up and smell the coffee!

You say so that he is there as Back Up.How do you make around and come up with issue of liability?.
 
Perhaps this post is not for you: Small minds like you are really annoying, this one is for thinkers not mihemkos,, okay my brother from another mother.

This post is for Fool Like you, you wont be able to understand us that th reason unaishia kutoa Povu badala ya ku argue intellectually
 
You seem to have a simple mind akin your Id, kiingereza chenyewe cha shule za kata, hoja za kukaririshwa, mère généralisations! Then unalazimisha kuungwa mkono kwa kuwa cc shoga zako, rubbish, umenunuliwa ukanunulika Kama taassisi fulani iitwayo TWANUNULIKA zamani ikiitwa TWAWEZA!! Kajipange upya, bs



I personally have never rated Mr Sumaye, his performance during his premiere was nothing but total failure in terms of actual productivity, corruption, economy and leadership abilities.

Mr Mkapa despite his intelligence made a fool of himself with this guy during his tenure. Massive corruption scandals and total despair of the TZ citizens occurred during this era.

Mbowe did a massive job bringing Mr Lowassa on board, but He also has made a 'critical' defining' mistake in letting Mr Sumaye close to UKAWA campaigns especially as a front liner. (His image to Tanzanians is that of a 'zero'corruptive' leader and from my perceptive he has done and still doing more harm to Lowassa and his presidency campaign than any good he has done).

He made tremendously errors during his first speech, got away with it, and now HE is slowly eating Edward, I wonder if this is not a deliberately calculated move from CCM(He is an informer)

Mnyika, Lissu, Mbatia and maybe Masha should be leading UKAWA campaigns, not Sumaye.

Mr Sumaye in my own thinking has his OWN agenda, not that of putting Edward in the big office Pasco, @yericho nyerere

Simple of JF SINCE FEB 2009
 
You seem to have a simple mind akin your Id, kiingereza chenyewe cha shule za kata, hoja za kukaririshwa, mère généralisations! Then unalazimisha kuungwa mkono kwa kuwa cc shoga zako, rubbish, umenunuliwa ukanunulika Kama taassisi fulani iitwayo TWANUNULIKA zamani ikiitwa TWAWEZA!! Kajipange upya, bs

Brother, umeanza na mihemko

I feel sorry for you. I know you are frustrated with your life; Be strong!! Don,t give up! Dream big! Set up achievable goals from your dream, and WORK HARD.

Only HARD WORK PAYS!
 
I personally have never rated Mr Sumaye, in letting Mr Sumaye close to UKAWA campaigns especially as a front liner from my perceptive he has done and still doing more harm to Edward Lowassa and his presidency campaign than any good he has done.

He made tremendously errors during his first speech, got away with it, and now HE is slowly eating Edward, I wonder if this is not a deliberately calculated move from CCM (He is an informer)

Mr Sumaye in my own thinking has his OWN agenda, not that of putting Edward in the big office Pasco, @yericho nyerere

Simple of JF SINCE FEB 2009
Is Sumaye an asset or liability towards Lowassa's campaign for presidency?
Mkuu Simple, kwenye business world, asset can turn into a liability at any moment ndio na maana kwenye stock markets kunaku na flactution za kupanda na kuhuka, zikipanda zinakuwa asset, zikishuka zinakuwa liabilities na sometimes zinakuwa disposed off kabla hazija drop ana kugeuka nothing!, na liability can turn into asset na kuleta faida kubwa.

Mfano mzuri ni mtambo wa kuzalisha umeme wa IPTL ulianza kama asset wakati wa shida ya umeme, japo unatumia mitambo chakavu, obosolete technology, na unatumia gharama kubwa za uendeshaji unaolitia taifa letu hasara kubwa, pia una kiwango kikubwa sana cha uharibifu wa mazingira, tungekuwa nchi za wenzetu, ile tuu, EIA tuu ya IPTL, tusiingerehusu mtambo kama huo ujengwe Tanzania, lakini kwa wamiliki it was a very valuable asset na wamevuna haswa!.

Baada ya kugunduliwa gesi ya songosongo na mnazi bay na mtambo wa songas kuwashwa, mtambo pwa IPTL uligeuka a liability ukafungwa na kukabidhiwa kwa mfilisi ili ufilisiwe!. Mtambo wa Richmond ulipoingia na kuwashwa, IPTL ilikuwa imeishakufa kabisa, na kaburi la kuuzika liliisha chimbwa, it was dead hakuwa na maana yoyote tena!, ikisuburi tuu muda a kuzikwa!..

Baada ya kuibuka kashfa ya Richmond, mtambo wa richmond ulizimwa, na ulipotoke upungufu wa umeme, kuliko kuiwasha Richmond/Dowan, serikali yetu ilifanya umuzi wa kutumia akili za matope, mtambo wa IPTL ulifufuliwa kama Lazaro, kutoka kwenye death bed yake, licha ya kuingiza hasara mara 100 zaidi ya richmond, bado ulitumika, hivyo uligeuka tena kuwa asset, na mwisho wa siku, PAP kafika bei, akaununua, Rugemlila akavuta mshiko wake wa nguvu toka kwenye a great liability hadi kugeuka a great asset!.

Ndani ya CCM, Edward Lowassa was a liabilty lakini ndani ya UKAWA, Edward Lowassa is an asset tena a very valuable asset and so does Sumaye kwa formular ya "ganda la muwa la jana, chungu aona kivuno!".

Kwa hapa tulipofika, kuna well wishers wengi waliochoka CCM, hivyo wanasupport move yoyote ya kuiondoa CCM madarakani with much enthusiasm, kiasi kwamba they don't hang out their dirty linen kwenye public ya watu, hivyo if you are one of them, hili bandiko halikupaswa hata kuwepo!.

After all, you are not all that trustorthy

I am a member here since 2007:
Join Date : 6th February 2009!.
Then
Simple of JF SINCE FEB 2009
?!, thamni ya mtu jf, ni anachangia nini na sio alijiunga lini!, kuna watu wako humu tangu jf iko jambo forum na hadi leo hawana lolote la maana, na kuna watu wamejiunga humu juzi, na wana michango ya maana sana tuu, hivyo acha kutambia umejiunga lini na kuwadharau waliojiunga juzi!.

Ila pia nilikusoma mahali, Why UKAWA will loose the 2015 Election, UKAWA is a movement, na ushindi utokana na "the spirity of victory!", hivyo mtu ukiishakuwa na any negativity, we dont expect anything good out of him/her, nendeni tuu mkichague tena hiyo CCM!.

Pasco
 
Ndugu Pasco, nashukuru kwa mchango wako, natambua umeshafanya maamuzi yako ya kumchagua Lowasa na Chadema, hongera kwa kufanya maamuzi. Binafsi sijafanya maamuzi sababu sikurupuki, sina chama, naendelea kuwapima wagombea wote kutokana na vigezo ambavyo nitavianisha hapo chini baadaye:
Sitegemei uanze na mihemko ya CCM out bila kupata vigezo nitakavyojirizisha navyo kwamba ninayemchagua anatosha kuniongoza kwa miaka mitano ijayo.
Lengo la kuanisha muda wa uanachama wangu humu JF ni kuonesha kutoyumbayumba na ushabiki maandazi wa vyama na misimamo kama wewe na wengineo mnavyofanya humu.

Vipimo vyangu;
- Usikivu ( Ntamchagua kiongozi anayesikiliza shida za watanzania, ushauri wa wataalamu na wanasheria)

- Maono(Vision)- Kiongozi anayeitazama Tanzania ya kimaendeleo kwa mikakati inayotekelezeka na ufahamu kwamba maendeleo ni hatua(steps) not an event.

- Afanyaje maamuzi inapobidi(decisiveness).

- Mtatua matatizo( problem solver)- sifa hii inashabihiiana na ya juu hapo.

-Mwaminifu(honesty)- Kiongozi ambaye nikimtazama najiridhisha na uaminifu wake bila shaka yeyote.

-Mbunifu( Creative)

-Mwenye ari na uchu wa kuwainua waTanzania, asiyependa uonevu.

Pamoja na sifa nyingine, hizi kwangu ni muhimu kwa kiongozi nitakayemchagua.

Nilitegemea wewe mwanaUkawa unielimishe kwanini nimchague mgombea wako kwa kutanabaisha mifano na hatua za mgombea wako na sio kunishambulia as if mimi ni mwanaCCM.

Yapo mengi yaliyonivutia Ukawa ilipoanzishwa( Umuhimu wa Katiba mpya), sasa imekuwa ya kina Sumaye, watu ambao mimi binafsi siwaamini; Nina haki ya kuhoji uhalali wake kwenye haya so called Mabadiliko.

Tatizo wana Ukawa hamshauriki kama mgombea wenu; sifa yangu ya kwanza hapo juu ni USIKIVU

Wiki njema ndugu

 
Back
Top Bottom