Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 705
- 1,369
Siwezi kupongeza kuzuia route ya mbezi muhimbili sababu bado hawajaboresha kiasi cha kutosha foleni ya kuingia mwendokasi muhimbili foleni ya mwemdokasi mbezi bado hujapambana kupata gari ya kimara fire watu ni wengi bado foleni ya kipande cha kimara mwisho mbezi.... unafuu ni mdogo kwa tusiopenda kero bora upambane na mbezi muhimbili ukikaa umekaa unless kungekua na udart roads mpaka mbeziKimara mbez kuna tatizo bado,kwingineko nadhan wamejitahid na kupunguza folen ni matunda ya mwendokas,matatizo ypo lkn kna unafuu,wakati mwingine tupongeze yale mazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa pesa gani ndugu,Mikopo c mmesitisha kutoa
Hautoki unasubiri gari y kimara then kimara unashuka ili upange tena foleni ya kwenda mbeziUnatumia ticket ile ile kivipi mkuu, ama ukifika fire hutoki ndani ya ile checkpoint yao?
POLE SANA NDUGU YANGU, YAELEKEA ULIKUWA HUJUI MAANA YA ULE WIMBO WA WATAISOMA NAMBA!Ni siku ya tatu hii Sumatra wameondoa root ya Daladala za Mbezi-Muhimbili je wanamsaidia mwananchi wa kipato cha chini kwa hali hii??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnashindwa kujiorganize mkanunua hata kigari cha ukoo.. Ni ushauri pengine tupambane na hali zetuKwa pesa gani ndugu,Mikopo c mmesitisha kutoa
Tuna shida sana wananchi, tatizo mwendo kasi hawaeleweki magari machache vituoni watu wanakaa mda mrefu, kadi hawana. Sijui haraka yao nn kuondoa hizi gari.Ila huu ni upumbavu jamani,ivi hawa Sumatra akili zao wamezielekeza wapi,chini ama juu,Wakumbuke tupo kwenye soko huria hayo mabasi yao ya Mwendokasi hayana faida yoyote ile zaidi ya uzembe,Au kwa vile wao wanamishahara mikubwa na Allah amewajaalia magari,Sasaivi itakuwa kama mtu unamgonjwa pale Muhimbili itakubidi umtembelee mara moja tu tena ni jioni,Viongozi wetu wa kitaifa na hao wenye mamlaka walitizame swala hili kiumakini kabisa
Tunaingia kwenye 'organized public transport'. Kama unaelewa.Kumbuka tupo kwenye soko huria
Number inasomwa na watu wote mkuuPOLE SANA NDUGU YANGU, YAELEKEA ULIKUWA HUJUI MAANA YA ULE WIMBO WA WATAISOMA NAMBA!
Lengo ni kujenga barabara maalum kufika maeneo yote ya jiji na kuondosha utitiri wa magari,mimi nichoona,folen imepungua sana na mwendokas inaokoa muda sana.Changamoto ndo kama zilivyotajwa hapa lkn hazitoshi kuwakatisha tamaa.Wakifanikiwa kuweka magari kuanzia mbez bila usumbufu wa kimara itakuwa safi sana.fire muhimbili naona haina shida maana gari zipo za kutosha na hulipi tena nauli.Siwezi kupongeza kuzuia route ya mbezi muhimbili sababu bado hawajaboresha kiasi cha kutosha foleni ya kuingia mwendokasi muhimbili foleni ya mwemdokasi mbezi bado hujapambana kupata gari ya kimara fire watu ni wengi bado foleni ya kipande cha kimara mwisho mbezi.... unafuu ni mdogo kwa tusiopenda kero bora upambane na mbezi muhimbili ukikaa umekaa unless kungekua na udart roads mpaka mbezi
Otherwise ubongo wao hauna rutuba ya kutosha kufanya mawazo yanayosanifu win win situation
Akili za kimaskini zimewajaa hawa viongozi this happens only in TZ
Hivi tu kukiwa na daladala hali ni mbaya, wakiziondoa kabisa si itakuwa balaa. Hicho kimradi hakikidhi haja. Watu wanataabika sana. Na pia gharama zimekuwa kubwa.Route ambayo UDART wanahudumia daladala zinatolewa. Huu ni mwanzo, mwisho wake daladala zote zitatolewa. Vinginevyo hakukuwa na sababu ya huu mradi.
Ndio msiwape sasa, mjifunzege
Sasa huyo mgonjwa unamuonajeHautoki unasubiri gari y kimara then kimara unashuka ili upange tena foleni ya kwenda mbezi
Allah hajawahi kuumba hii dunia usidanganye ummaNdo m
Ndo mmiliki na muumbaji wa hii dunia,sie wote ni wa Allah
Hata hivyo kung'ang'ana na kagari kabinafsi ili hali kuna mwendokasi ni ulimbukeni.Magari siku hizi unaacha kimara kuna paking kabisa unapanda mwendokas faster.Yanini nihangaike na paking mjini,barabara zinazotoka na zisizotoka ,mizunguko isiyo na lazima na usumbufu wa matrafik polisi.Kwa pesa gani ndugu,Mikopo c mmesitisha kutoa
Costs ni kubwa kwa mwendo kasi.
Route ambayo UDART wanahudumia daladala zinatolewa. Huu ni mwanzo, mwisho wake daladala zote zitatolewa. Vinginevyo hakukuwa na sababu ya huu mradi.
Wa Mbezi unamwachia nani?Kwahiyo kuna gari ya mwendokasi Kimara-Muhimbili bila ya kuunganisha?