Ila mungu anawaona,Muhimbili cyo sehemu ya kuitoa hii ruti
ROOT=ROUTENi siku ya tatu hii Sumatra wameondoa root ya Daladala za Mbezi-Muhimbili je wanamsaidia mwananchi wa kipato cha chini kwa hali hii??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbezi kimara 400 then kimara muhimbili 650 wakati mbez muhimbili ingekuwa 500 tu.I
Ila mungu anawaona,Muhimbili cyo sehemu ya kuitoa hii ruti
kitu kinaitwa time factor kwa waTanzania ni tattizo, mtu atoke mbezi halaf aje asubirie gari nyingine hapo, je huku kuchelewa au kuwahi nani anaufidia huo muda
Mkuu hapo napingana na ww,kumbuka mwendokasi haipotezi muda mwingi njiani tofauti na daladala zinazosimama kila kituo,it takes about 30 mns from Kimara to Fire,na pale Fire gari ni nyingi ukisubiri sana ni dakika kumi tu unafika muhimbili dakika tano.Ndani ya lisaa limoja unakuwa tayari uko Muhimbili.Kumbuka nauli hulipi tena,unatumia ticket ile ile.Cha msingi ni kuondoa usumbufu wa kutoka Mbezi hadi Kimara na kurudi Mbezi ,otherwise huu utaratibu utakuwa poa sana,unapunguza muda unaopotea kwenye daladala na Dsm itakuwa nzuri ikiwa mwendokasi utatamalaki jiji zima.kitu kinaitwa time factor kwa waTanzania ni tattizo, mtu atoke mbezi halaf aje asubirie gari nyingine hapo, je huku kuchelewa au kuwahi nani anaufidia huo muda
Ni siku ya tatu hii Sumatra wameondoa root ya Daladala za Mbezi-Muhimbili je wanamsaidia mwananchi wa kipato cha chini kwa hali hii??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwendokasi zipo xawa lakin kumbuka hakuna mwendokasi ya moja kwa moja kutoka mbez hadi muhimbili au mbezi had gerezan lazma upande hadi kimara sh 400 then ukapande nyingine mia 650 kuelekea town asa.Wakati daladala za kawaida zilikuwa zinatoza naul ya shilling 600 had muhimbil lakin ukiangalia watu weng wanaopanda hizi walikuwa wanashuka maeneo ya katikati ya route kama manzese na magomen but kama ingekuwepo mwendokasi ya kutoka mbezi had gerezan,kivukoni au muhimbil moja kwa moja hapo ingekuwa inamsaidia mtu wa kipato cha chini na hiz daladala ingekuwa ni haki kuzitoa