Sumatra yaipiga ban Champion Bus | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumatra yaipiga ban Champion Bus

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rugaijamu, Sep 1, 2011.

1. Rugaijamu

Rugaijamu JF-Expert Member

#1
Sep 1, 2011
Joined: Jul 10, 2010
Messages: 2,833
Likes Received: 556
Trophy Points: 280
Hii ni kufuatia ajali ya basi la kampuni hiyo mkoani Dodoma.Zuio hilo linaanza kesho,litadumu kwa muda usiojulikana kupisha uchunguzi-sumatra.SOURCE TBC TAIFA-habari.

2. Watu

Watu JF-Expert Member

#2
Sep 1, 2011
Joined: May 12, 2008
Messages: 3,054
Likes Received: 427
Trophy Points: 180
Hood mbona hawafungwi? !#*

3. lifeofmshaba

lifeofmshaba JF-Expert Member

#3
Sep 1, 2011
Joined: Feb 19, 2011
Messages: 868
Likes Received: 7
Trophy Points: 35
wanazi hawa, au nishinikizo kwa kuwa mkuu alikuwa huko?
ndio maana serikali inajidhalilisha kila siku, uwezi kufundia kampuni nzima kwa ajari iliyosabanishwa na bus moja,
kwani hayo mabusi ni auto pilot kusema kuna failure kwenye system?
hii hadhabu ni kali sana, wangedili na dereva na bosi wake sio mabasi yote na sisi wasafiri wanatuweka kundi gani

4. Rugaijamu

Rugaijamu JF-Expert Member

#4
Sep 1, 2011
Joined: Jul 10, 2010
Messages: 2,833
Likes Received: 556
Trophy Points: 280

We unashangaa ya kutofungiwa hood!Vipi SUMRY zilizokuwa zinafululiza kutuchinja?

5. N

NDOFU JF-Expert Member

#5
Sep 1, 2011
Joined: Feb 23, 2009
Messages: 656
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Pumbafu zao Sumatra na traffic police wote! Leo basi la Mohamed(sina uhakika kama ni Classic au Trans) limeua watu wanne likitokea Arusha na lenyewe walifungie au? Sasa hv nipo kwenye basi la Mghamba kuelekea kahama kasi yaje inatisha! Dereva wala hajari bamps mbaya zaidi nipo siti ya mwisho kabisa! Jamaa hajaigopi hata Sekenke mwendo ulelue! maaskari wakitusimamisha wanaongea na konda hata ndani hawaingii mambo yanakwisha! Ipo hvi zaidh ya asilimia 78 ya ajari za mabasi ni uzembe wa madereva.Sasa unafungia kampuni moja nyingine inaua utafungia ngapi? Lazima washughulike na madereva.

6. Edson

Edson JF-Expert Member

#6
Sep 1, 2011
Joined: Mar 7, 2009
Messages: 9,202
Likes Received: 721
Trophy Points: 280
we ndofu ..huna namba za polisi ukaripoti juu ya huo mwendo kasi?

ila nchii hii hakuna haki kabisa...........kila siku sumr inaua lakini mbona hawajaadhibiwa

7. lifeofmshaba

lifeofmshaba JF-Expert Member

#7
Sep 1, 2011
Joined: Feb 19, 2011
Messages: 868
Likes Received: 7
Trophy Points: 35

mkuu hiyo kauli yako ifute ama sivyo na wewe ni dhaifu na legelege, kwani huyo dereva mnamuogopa hapo ndani ya basi?
yaani hata misaada tunayoweza kujipatia wenyewe tunataka MWANASHERIA MKUU atusemee
na huyo polisi traffic anakula rushwa mbele yenu mnaangalia maana yake ni nini? mna matatizo gani kichwa mpaka mnadharauliwa hivyo?
mbona wenzenu madereva tunawakomalia na wanatuliza hiyo mizuka yao

WATANZANIA TUBADILIKE MENTALITY ZETU NA SERIKALI inafuata tu maana hawata kuwa na pakushika kwa kiasi kikubwa mambo mengi yanakwenda mlama huku tukiangalia

8. Rweye

Rweye JF-Expert Member

#8
Sep 1, 2011
Joined: Mar 16, 2011
Messages: 15,057
Likes Received: 3,084
Trophy Points: 280
Hivi na sie tunaishi duniani ama ndo tuko angani kisiwa kinachoelea hewani?

Hii sheria imeanza leo ama iliwekwa kusubiri Champion ikipata ajari?hata kwa vigezo vya idadi za ajari kwa kampuni,ni mara ngapi tumesikia Championi ikipata ajari ukilinganisha na makampuni mengine?...rekodi nyingine kwenye Uongozi mchovu uliowekwa chini ya matapeli na vibaka wanaojiita system (dola)

9. Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

#9
Sep 1, 2011
Joined: Aug 9, 2007
Messages: 14,576
Likes Received: 1,670
Trophy Points: 280
Mohamed Trans walishawahi kufungiwa MIEZI 3 njia ya Dar arusha,Lakini cha kushangaza haikupita hata mwezi tukasikia Ajali nyingine huko huko,sasa sijuhi waliwafungulia kimyakimya!

10. Mwendabure

Mwendabure JF-Expert Member

#10
Sep 1, 2011
Joined: Mar 10, 2011
Messages: 2,054
Likes Received: 296
Trophy Points: 180
Mmiliki atasajili kampuni mpya kwa mabasi yaleyale na kuyaweka barabarani yakiwa ktk rangi na jina jipya. Si ajabu tayari yapo gereji yanavuliwa gamba mabasi yote. Tena kwa maelekezo ya vyombo vya dola. Wanajuana hao!

11. N

NDOFU JF-Expert Member

#11
Sep 1, 2011
Joined: Feb 23, 2009
Messages: 656
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Ndugu yangu' nchi hii unamtegemea police? Ipo hv bado polisi wanatusimamisha na wanamalizana na Konda chini.Tumesimamishwa zaidi ya mara tatu!

12. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#12
Sep 1, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,334
Likes Received: 22,186
Trophy Points: 280
Huyu Mod anayeitwa Sumatra hafanyi kazi hadi watu wafe?? Aondolewe kwenye u mod soon

13. N

NDOFU JF-Expert Member

#13
Sep 1, 2011
Joined: Feb 23, 2009
Messages: 656
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Mkuu nimejaribu kufuata ushauri wako kesi imekuwa ya kwangu! Watu wamenigeukia wananiuliza "unataka tufike Kahama kesho?" upande wangu nipo mimi na jamaa wengine watatu tu! Hakika kazi ipo hapa Tanzania! Roho inaniuma sana mkuu, hawa ndo watanzania wa leo miaka 50 baada ya uhuru!

14. TUMBIRI

TUMBIRI JF-Expert Member

#14
Sep 1, 2011
Joined: May 7, 2011
Messages: 1,934
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
Ni kosa kubwa la kitaaluma kuifungua kampuni ya basi ambayo mabasi yake yanapata ajali. Mabasi hayajiendeshi yenyewe. Kuna mtu anayaendesha wakati yanapata ajali. Mtu huyu ni Dereva. Kwa hiyo, SUMATRA inapaswa iwafungie leseni madereva wote wanaosababisha ajali na si kampuni ya mabasi. Kama kampuni moja imeonekana ina rekodi nyingi za kupata ajali basi inachoweza kufanya ni kusitisha au kuzifungua leseni za madereva wake wote kwa sababu tukiendelea na huu utaratibu, SUMATRA itajikuta inafungua kampani zote za mabasi coz katika biashara ya aina hii ni vigumu madereva wa wakaendesha magari zaid ya 30 ya kampuni moja tena mwaka mzima bila kupata ajali au kusababisha ajali.

Labda tu ikionekana kuna matatizo kwa upande wa gari la kampuni. Mfano linaendeshwa na matairi vipara, long run services na magari yaliyochoka. Hapa SUMATRA inachoweza kufanya ni kulifutia vibali gari husika.

15. Preta

Preta JF-Expert Member

#15
Sep 1, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 24,113
Likes Received: 3,036
Trophy Points: 280
mi mwenyewe nilikuwa nataka niulize kuhusu Sumry....kila mwezi lazima tusikie ajali ya hili bus.....mbona halifungiwi?....

16. T

Tata JF-Expert Member

#16
Sep 1, 2011
Joined: Dec 3, 2009
Messages: 4,733
Likes Received: 653
Trophy Points: 280

Nakubaliana na wewe kwa hilo. Watanzania tumekuwa watu kulalamika tu bila kuchukua hatua. Ni yaleyale ya kuichagua CCM baadaye kulalamika kama kawa.

17. Ngambo Ngali

Ngambo Ngali JF-Expert Member

#17
Sep 1, 2011
Joined: Apr 17, 2009
Messages: 3,196
Likes Received: 135
Trophy Points: 160
Kiwanda cha ajali za barabarani, lakini wanapeta tuu.

No one thinks straight i tell you, watu ni bure kabisa.

Hiyo ya sumatra kufungia champion itapunguza ajali?

18. Rugaijamu

Rugaijamu JF-Expert Member

#18
Sep 1, 2011
Joined: Jul 10, 2010
Messages: 2,833
Likes Received: 556
Trophy Points: 280

waaapi!upuuzi mtupu.Si walishawahi kuwafungia Mohamed trans na ajali ndo zikazidi.

19. Rugaijamu

Rugaijamu JF-Expert Member

#19
Sep 1, 2011
Joined: Jul 10, 2010
Messages: 2,833
Likes Received: 556
Trophy Points: 280
Kwa maamuzi haya ya SUMATRA ni dhairi kuwa tumeshindwa kugundua kiini cha hizi ajali za kila uchao.Miaka ya 90 walikuja na speed governor,wakazuia magari ya abiria kusafiri usiku,kufungia kampuni.Sasa tochi kubaini waendao kasi lakini wapi ngoma iko palepale.Hizi ajali sasa tuzitangaze kuwa ni janga la taifa sasa!

20. Mungi

Mungi JF Gold Member

#20
Sep 1, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,986
Likes Received: 444
Trophy Points: 180
Masebu hawezi kujifungia mwenyewe. hawa washenzi wana visa sumry

Loading...