YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,056
Nauli elfu moja katikati kuulingana na urefu Njia nyingine iwe Kibamba Mbezi tabata Airport buza Tandika Mbagalanauli yake bei ngapi?? maana kwa hapa mjini nauli kubwa kuliko zote ni 750 kwa ruti ndefu