Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,597
- 5,788
Huwa naangalia sana magari ya Mbagala, Mbezi, G/Mboto n.k, yanajaza sana. Yanazidisha abiria zaidi ya 100%.
Je! Tatizo la usafiri linaruhusu sheria za usafirishaji zisifuatwe? Au wanasubiria litokee lakutokea ili waunde tume?
Kama sheria inaruhusu nchi kavu kuzidisha abiria kutokana na tatizo la usafiri kwanini na majini isiwe hivyohivyo?
Sumatra vipi tena, hatuwaelewi.
Nawakilisha.