Sumatra mnadili gan na nauli za loliondo zisiipunguzwe..mnafanya kazi gani ??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
Nimejiuliza iweje leo hii nauli inapandishwa kwa kuptia sumatra lakini hizi za loliondo watu wameamua kukaa kimya..je wakurugenzi wa sumatra mna dili na haya mabasi ama haya magari ya safari
iweje wameomba vibali vya kupeleka tourist leo hii wanapeleka abiria loliondo kwa bei za ajabu hivi mbaya zaidi hata mabasi mmeyakalia kimya kabisa kama vile mnakula cha juu

UPUUZI WENU WA DAR ES SALAAM KUOMBA PESA MUWEKEWE KWENYE SITI YA PEMBENI UFE ..MSIJE TAFUTA LAANA NAWAAMBIA MKIWA MTAKWENDA KINYUME NA MATAKWA YA BABU NA MUNGU WAKE BASI MVUA YA LAANA IWWAANGUKIE KILA ALIEHUSIKA NA UPUUZI WA KUKUBALI KUPANDISHA NAULI
 
Back
Top Bottom