Suma Lee azungumza jinsi Land Cruiser VX yake lenye thaman ya million 70 ilivyoibiwa Coco Beach

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Sumalee.jpg
Huenda ukawa unaisoma habari hii kwa mara ya kwanza. Story ni kuwa wajanja wameiiba gari ya Sumalee aina ya Land Cruiser VX katika fukwe za Coco Beach jijini Dar es Salaam alikokuwa ameenda kula upepo.
Kupitia XXL ya Clouds FM, hivi ndivyo alivyosimulia tukio hilo:
“Nilikuwa Coco nimepaki nikatoka si unajua mambo yetu, na siyo kama walivunja wamefanya kuchukua tu yaani kama gari yao hata mimi sielewi ilikuaje. Mimi ninawaambia hiyo wamechukua, ni gari niliyoipata kwaajili ya Hakunaga, nitaimba nyimbo nyingine zaidi ya Hakunaga na mimi hiyo gari nitaipata kwasababu mimi ni wa hapahapa mjini,wafanye mengine siyo hiyo tu,ni ujinga tu,watalipeleka wapi hilo gari, spare za used zote niko nazo Kariakoo,hakuna mtu yoyote atakayelitaka wala kulinunua watu wanalijua,mwenyewe mimi maskini ,nimejichanga mwenyewe nimechukua gari sio kama nina hela, hiyo gari nilikuwa na uwezo hata wa kujenga nyumba ila nikaamua ninunue gari imeniuma sana.”
Pole Sumalee.
 
Weken magar yenu security alert/alarm, inasaidia kias flan. Mil 70 zimepotea kirahis kuliko muda uliotumia kwenye hakunaga. Pole
 
Pole sana!

asante nishapoa,hahahaaa,hao watu anasema inaonyesha walikuwa wanamfatalia sana sababu watu waliokuwepo karibu wanasema awakuvunja walifungua mlango kawaida tu na kuwasha na kuondoka
 
View attachment 69902
Huenda ukawa unaisoma habari hii kwa mara ya kwanza. Story ni kuwa wajanja wameiiba gari ya Sumalee aina ya Land Cruiser VX katika fukwe za Coco Beach jijini Dar es Salaam alikokuwa ameenda kula upepo.
Kupitia XXL ya Clouds FM, hivi ndivyo alivyosimulia tukio hilo:
“Nilikuwa Coco nimepaki nikatoka si unajua mambo yetu, na siyo kama walivunja wamefanya kuchukua tu yaani kama gari yao hata mimi sielewi ilikuaje. Mimi ninawaambia hiyo wamechukua, ni gari niliyoipata kwaajili ya Hakunaga, nitaimba nyimbo nyingine zaidi ya Hakunaga na mimi hiyo gari nitaipata kwasababu mimi ni wa hapahapa mjini,wafanye mengine siyo hiyo tu,ni ujinga tu,watalipeleka wapi hilo gari, spare za used zote niko nazo Kariakoo,hakuna mtu yoyote atakayelitaka wala kulinunua watu wanalijua,mwenyewe mimi maskini ,nimejichanga mwenyewe nimechukua gari sio kama nina hela, hiyo gari nilikuwa na uwezo hata wa kujenga nyumba ila nikaamua ninunue gari imeniuma sana.”
Pole Sumalee.

Asijisifie ye ni wa mjini...
Ye katoka kwao Tanga huko na kaja Dar akawa hajapokelewa mpaka alipopigwa juzi ndo kakaribishwa.
 
Ahahahha,, hakunaga.. jamaa si wa Tanga huyu? Mbona anasema wa kudasalama.. ahahah
 
Asijisifie ye ni wa mjini...
Ye katoka kwao Tanga huko na kaja Dar akawa hajapokelewa mpaka alipopigwa juzi ndo kakaribishwa.
Usikurupuke mkuu.
Sumalee kazaliwa dar, maisha yake yoooote kaishi kariakoo, primary kasoma mchikichini na mpaka sasa bado anaishi k'koo.
Huwa anasema katokea Tanga coz ndo asili ya baba yake na wazazi wake walihamia huko baada ya kustaafu.
Chukua hiyooo.....

Pole Hakunaga, litarudi tu hilo kama la Khadija Kopa.
 
Sasa kati yangu na yeye anayesema wazi kuwa katokea Tanga je nani kakurupuka?

We nawe kweli kitumbua...huivi mpaka ugeuze huku unachomwa
 
siyo kila siku asubuhi wabongo kwa kubadilika? unaweza toa singo nyingine na isifanye vizuri////
 
ni vizuri kununua gari la million la 70,lakin kabla ya kununua gari la million 70 uwe na gari lingine kwanza ata la million 12-15,siyo pesa yote ukipata unanunua gari,ata wasanii wa nje ambao wana,gari za bei mbaya,awakununua pesa yote gari walianza taratibu,kwa hiyo million 70 angepata gari 4 tena nzuri za million 17.5,ajipange
 
ni vizuri kununua gari la million la 70,lakin kabla ya kununua garii la million 70 uwe na gari lingine kwanza ata la million 12-15,siyo pesa yote ukipata unanunua gari,ata wasanii wa nje ambao wana,gari za bei mbaya,awakununua pesa yote gari walianza taratibu,kwa hiyo million 70 angepata gari 4 tena nzuri za million 17.5,ajipange

afu kama hivyo ilivyoibwa moja angekuwa amebaki na tatu. si ndio jamani!
 
Mnampangia tu matumizi nyambafu

sasa ona amekosa yote,amenunuua gari million 70 ata insurance ameshindwa kuweka,pesa yote unayopata utatoaje yote ununue gari ubak mtupu,fikiria mara mbili,ndio maana nilisema ni vizuri kununua gari million 70 ata billion 1,lakin kabla ya kununua ujipange kwanza siyo pesa yote kununua gari
 
Asijisifie ye ni wa mjini...
Ye katoka kwao Tanga huko na kaja Dar akawa hajapokelewa mpaka alipopigwa juzi ndo kakaribishwa.
pia kuna item worth value na sold price..Vitu viwili tofauti hasa linapokuja Suala la Magari used...mpaka 25m unalipata
 
asante nishapoa,hahahaaa,hao watu anasema inaonyesha walikuwa wanamfatalia sana sababu watu waliokuwepo karibu wanasema awakuvunja walifungua mlango kawaida tu na kuwasha na kuondoka

Hahahha mkuu unapokea pole kwani wewe ndiye Sumalee..................?
 
Back
Top Bottom