Suma Lee azungumza jinsi Land Cruiser VX yake lenye thaman ya million 70 ilivyoibiwa Coco Beach

Asijisifie ye ni wa mjini...
Ye katoka kwao Tanga huko na kaja Dar akawa hajapokelewa mpaka alipopigwa juzi ndo kakaribishwa.

bab huyu mtoto kakulia kinondoni mitaa ya siri yako!.....halafu fanya tathmini watoto wa T.A ndo wajanja sana wanapoingia katika fani kwani wao dunk n die sana tu!.....suma alikuwa anamiliki VX ila alikuwa si mtu wa yowe mpaka runingani ajionyeshe kama anamiliki mzigo wa VX kama wanavyojitangaza maboya wengine
 
kujenga ni uoga wa maisha!!!nyumba zote za kukodisha hizi mjini ujenge ili iweje!

Sawa,

Ushawahi kusikia mtu kapaki nyumba yake Coco Beach akaibiwa ndani ya dakika chache?

Unafahamu asset value appreciation na depreciation charts zinavyopishana kati ya gari na nyumba?
 
ebwana gar ya gharama inapaswa kuwa na usalama car track m 1 tu kwa mwaka..m 1 kitu gn kulinda m 70..Mungu atakupa nyengine km ispopatkana.
 
Kaibiwa kiboya!! hlf anajiita mtoto wa mjini!! ..........
 
Back
Top Bottom