wazabangah1
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 315
- 114
- Thread starter
-
- #21
tunaishi separate bit these days lakini ukiongea naye na kumuuliza whatsup mbona kimya atakwambia ana mistari mingi na amerekodi tracks kadhaa,tatizo linabaki ni kwamba washikaji ambao walishakuwa mainstream hawako tayari kumbeleza dj apige joint yake na hawa presenters ni njaa na ukichukulia kile ni kizazi cha madj kama dj jdambao hawakuwa na longolongo....kimsingi mshikaji anasimama kwenye misingi ya kwamba kama you are talented sio tena kuanza kupita njia za kubembelezana na kupigiana magoti kama underground if you know what i mean.

Duu kizungu cha vituko uswahilini..ebwana wee uswahilini kuna vituko!
Ikipigwa hiyo ikaja ya inspekta mtoto wa geti kali kisha ikamaliziwa na bush party ya wale solid ground family basi natoka roho kwaAatu.Duu kizungu cha vituko uswahilini..ebwana wee uswahilini kuna vituko!
Aiseee ni hatarii main campus au mabibo geti lakuingiliaa???
Natania, kuna mtu anauza ream main campus wanafanana mbaya
Hahahaaa namjua huyo jamaa unaemsemea anauza ream hasa maeneo ya yombo na Coet hasa majira ya usiku ila yule jamaa kidogo Ana mwili na nimfupi kulinganisha na Suma g na yuko pale kitambo Sana nafikiri more than 9 years anacheza area code zile za udsm
Yeah huyo huyo enzi nasoma class letu tulikia tunamwita Suma G... yuko miaka mingi yule tumekuja tukamkuta na tumemuacha pale
nisamehe bure mkuu nimejikuta nimekuwa emotional all of a sudden baada ya kuona uzi wa childhood homie..nimejaribu kumuelezea mshikaji hapo juu ninachojua kuhusu suma kiasi flani,kuhusu umarekani weusi hayo ni mawazo yako mi nimechanganya english ya kawaida kabisa..sijawahi kukaa tandale mkuu unless mwembechai kwako wewe ni tandale...upo mkoa gani mkuu?
Hahahaaa namjua huyo jamaa unaemsemea anauza ream hasa maeneo ya yombo na Coet hasa majira ya usiku ila yule jamaa kidogo Ana mwili na nimfupi kulinganisha na Suma g na yuko pale kitambo Sana nafikiri more than 9 years anacheza area code zile za udsm
yule jamaa inasemekana ni spy.
yule jamaa inasemekana ni spy.
Hahahahaaa! Mwana we kweli bado msanii, japo ulichukuwa njia ya chuo kikuu. Hiyo 'punch' nimeiona.
Hivi aliyeimba wimbo wa Chungwa nalimenya kama chenza ni Sumalee au Suma G? Hapa nimesahau kidogo wandugu...
Anauza karatasi za ream UDSM
ha ha ha kuna jamaa alikuwepo pale UDSM akiuza karatasi za ream na anafanana sana na SUMMA G nadhan hata wewe ndo umemaanisha yule jamaa
Sumalee
hahahahaaa mbavu zangu. eti kende ingekuwa album ingeuza sana mombasa jamaniiii.