Suluhisho la Joto la Dar ni kupanda mamilioni ya miti

Upandaji miti ndio njia ya haraka na uhakika zaidi.

Joto la Dar ni pasua kichwa mpaka imekuwa nembo ya jiji. Ni miaka na miaka jua limekuwa kali na kutafsirika kuwa ndio Jiji lilivyo. Notion ya ajabu sana!

Nimeona wazo hili la Aidan Eyakuze linafaa kupewa umuhimu. Kwamba; kupunguza pollution na kufanya jiji hili lenye watu wengi zaidi nchini lipumue, basi kampeni ya upandaji miti ifanyike kwa kuweka lengo la idadi ya miti milioni kadhaa.

"So, Dar has a population of approx. 3.5m permanent residents. What if we planted 7m new trees in the next 7 years to cool the city down and reduce pollution? Milan's mayor is planning to plant a "mere" 3m trees. Let's beat them! Any takers?"

Nakumbuka RC Makonda alianza vizuri kwenye kampeni yake ya #MtiWangu kipindi fulani. Turejee na ile plan tena kwa ukubwa wake.

Wananchi nao washirikishwe na ikibidi liwe ni zoezi la lazima tena lisimamiwe hata kwa viboko (sina uhakika kama natania hapa au la).

Upandaji miti uendane na utunzaji wa mazingira kwa sheria kali consistently.

Hapa naandika huku nasweat.

Watu wa Dar es Salaam wanaogopa kupanda Miti kwa Kisingizio kuwa aina ya Miti inayopatikana mingi ni ile inayopendwa na Wachawi hivyo ikiwa mingi inaweza kuwa na Madhara makubwa Kwao japo Mimi Mcha Mungu bado sijauamini huu Upuuzi na Uswahili.
 
coasta regions zote duniani,joto linawahusu..inategemea pepob za bahari zimavuma kwa joto kuelekea wapi,na mwinuko was eneo kutoka usawa bahari..
Ni kweli. Na hata kijiografia nchi hizi za kusini mwa jangwa la sahara ni tropical.

Lakini joto hili la Dar sio stahili. Tunaweza kupunguza sauti kidogo!
 
Back
Top Bottom