Sultan Jamshid Sultan of Zanzibar

Wote hapo juu naona kama wapuuzi. Sultan Jamsheed aende kwao Oman. Alivyo wa hovyo hata alipopinduliwa aliogopa kurudi huko kwao. Hawa waswahili wanaonekana kuwa na hang over ya utumwa vichwani mwao. Wanasema wasichojua na wanajua wasichosema. Kama wanaota kuwa sultan atarejea wamenoa. Wanapaswa kuelimishwa kuwa dunia huzunguka jua lakini jua halizunguki dunia.
 
Back
Top Bottom