Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 757
- 1,822
Wakati wananchi wakikabiliwa na janga la Corona .. mateso mapya ya ukosefu wa bidhaa muhimu ya sukari yameibuka upya Mara baada ya bidhaa hiyo kuadimika madukani katika jiji la Arusha na majumbani mwa watu tangu wiki iliyopita.
Serikali imelalamikiwa na wananchi wakidai kuwa kwann ipo kimya kuzungumzia suala hilo huku baadhi ya wafanyabiashara walioficha wakiwauzia wananchi kwa siri hadi sh 4500 kilo moja.
Serikali imelalamikiwa na wananchi wakidai kuwa kwann ipo kimya kuzungumzia suala hilo huku baadhi ya wafanyabiashara walioficha wakiwauzia wananchi kwa siri hadi sh 4500 kilo moja.