Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,578
- 1,817
Kutoka na Changamoto iliopo sasa inaonekana sukari haipo madukani na wengi wakisema wafanya biashara wameficha.
Ili serekali iweze kupambana na hii hali iseme kila mfanyabiashara wa kati anae nunua sukari kwa ajili ya walaji ni lazima awe na risiti ya TRA kama ilivyo kawaida na aitunze hata kwa kutoa copy ionyeshe vyema jina aliko nunua vyema tarehe na bei.
Pia wanunuzi wakubwa hivyo hivyo.
Wakati wanafanya ukaguzi aonyeshe alinunua sh. ngapi na yeye anauzaje kama aliuziwa bei kubwa zaidi ya iliopangwa anayo haki ya kuuza zaidi, wachukue hiyo risiti mpaka kwa alie muuzia nae aonyeshe aliuziwa bei gani mpaka mwisho watamkata mlanguzi.
Ukisema uwabane wafanyabiashara wa wadogo unaweza waonea bure sababu wamekuta bei juu wakaamua kununua ili wasipotezee biashara na wateja .