The Farmer
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,658
- 559
Nimestuka kidogo, Juzi nilinunua sukari 2,400Tsh/kg....sasa hiyo elfu nne ni wapi Tanzania hii...munzisha uzi atupe location...Nchi gani hiyo?
Huku kwetu kilo ni 1800 mpaka 2000 tu, haizidi bei hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli. Na pia serikali inaweza kuruhusu bidhaa ziagizwe toka nje kwa utaratibu rasmi ili kufidia pengo. Kuzuia bidhaa zisiingie na badala yake unahimiza watu wajenge viwanda hadi vianze uzslishaji na kuzipa pengo la upungufu ni mwaka gani?Ila kipindi kile waliposema bei elekezi ya sukari ni 1800!!walikuwa na la kufanya ila wakashindwa?? Hakuna kitu amabachi serikali inaweza shindwa japo kwa kupunguza makali ya bei kama ikiamua!! Kuna sehemu nyingi tu za kurekebisha kidogo hasa kwenye mambo ya kodi na mwanachi akapata nafuu.
Dereva anagonga miti tuNi kweli, huenda dereva atashtuka tutakapo hit rock bottom.
hahahhahhahha analeta story za Kenya tzHuu ugoro kamdanganye house girl wako nyumbani
Kwa hiyo ule mkwara alioingia nao mkulu mwaka 2016 umeyeyuka? Au alikuwa hajui kuwa ni tatizo la Afrika mashariki?Sukari ni Tatizo Afrika Mashabiki nzima Kenya Wananunua kwa Sh. 5,600-6,000/Kg tuna bahati sana kuipata kwa sh. 4,000 siyo Suala la Kuanza kuilalamikia serikali Supply ni ndogo na Tanzania Tumeimarisha Bandari na Mipaka Smuggled Sugar haingii tena.
Kuna Vitu vingine hata vikipanda serikali haina cha Kufanya zaidi ya Ku Encourage watu waanzishe Viwanda vipya vyenye Capacity ya Kulisha Tanzania nzima.
Sukari ni Tatizo Afrika Mashabiki nzima Kenya Wananunua kwa Sh. 5,600-6,000/Kg tuna bahati sana kuipata kwa sh. 4,000 siyo Suala la Kuanza kuilalamikia serikali Supply ni ndogo na Tanzania Tumeimarisha Bandari na Mipaka Smuggled Sugar haingii tena.
Kuna Vitu vingine hata vikipanda serikali haina cha Kufanya zaidi ya Ku Encourage watu waanzishe Viwanda vipya vyenye Capacity ya Kulisha Tanzania nzima.
kuna vitu vinamgusa kila mtu ni muda tu bado huu uoga wetu utaondoka wenyewe na watu wataanza kujitambua....uchochezi unahitajika zaidi
sio kweli ndio maana kuna tume ya ushindani,hii ndio kazi yake hiyo,hakuna bei holela,soko ndio linapanga bei lkn msimamizi anaangali.
Sent using Jamii Forums mobile app
..kuna Vitu vingine hata vikipanda serikali haina cha Kufanya zaidi ya Ku Encourage watu waanzishe Viwanda vipya....
Mkuu funguka maana hata sisi hapa kitaa ni 2000 tusije kuchezea mi tumor isiyoeleweka !Hiyo sio sukari ni mataputapu yanatoka msumbiji huku inauzwa 1000 kwa kilo ila mi sinunui hayo makitu
Wewe usifananishe kenya na sisi wao mpaka waliuana kwa mambobya uchaguziKenya pia Kenyatta kapiga marufuku vyama vingine kufanya siasa? Umewahi kusikia Kenyatta anakamata wapinzani wake wanapomkosoa kwa kumpa ukweli wake? Umewahi kusikia Odinga kupimwa mkojo kwa kusema ukweli. Iweje tujifananishe na Wakenya kwenye sukari na sio kwenye hayo mengine? Bajeti ya kilimo ya Kenya ni dhaifu kama hii yetu? Kumbuka kundi kubwa hapa kwetu ni wakulima, je serekali inawajali wakulima wetu kwa vitendo au ni porojo tu?
Taarifa tu sikuhizi hatuamini wasomi!Nani Kakwambia Kenya shillings Tena Usifikiri Mimi Mbumbu Kama wewe! Nina Concept za Money Markets kuliko Unavyofikiri Just Soma Vizuri nilishopost na Siyo Kuongeza Maneno ambayo sijayaandika.
Wapi? Kwetu Kinyerezi inauzwa 2500.usemayo ni kweli majuzi nimenunua 3600
Wapi? Kwetu Kinyerezi inauzwa 2500.