Sukari ni bidhaa iliyoadimika sokoni leo

Sukari ni bidhaa iliyoadimika sokoni leo

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Sukari leo imepanda bei na kuuzwa kg1 kwa sh 5000
Madukani hakuna sukari kwenye godown sukari hamna
Serikali fanyia kazi changamoto hii ya sukari
Bodi ya sukari mmelala au mna maana gani?
Kama uzalishaji wa ndani wa bidhaa sukari hautoshi agizeni sukari kutoka nje
Burundi sukari ni 1500, Uganda 1500, Malawi na Zambia ni bei nafuu kuliko hii
Tunaelekea mwezi Ramadhan mmeanza kupandisha bidhaa bei


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi sometimes inahuzunisha, hata sukari ni tatizo lenye kuchukua muda mwingi kulitatua kwake.....kwenye vitu kama hivi ndo tunapima uweledi na uwajibikaji wa viongozi wetu.
 
Back
Top Bottom