nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,818
- 7,106
Muda huu nimetoka kuzunguka madukani kutafuta sukari, lakini hakuna duka lenye sukari! Nipo tabata segerea maeneo ya kwa bibi hapa. Hili Suala sio la kisiasa ni kweli kabisa jamani. Pia naomba kuunganisha na Suala la mpangaji mwenzangu. Jana alizunguka kutafuta mafuta ya taa madukani alikosa. Alipoamua kwenda sheli, nako hakukuta mafuta. Hizi bidhaa za muhimu kwanini zinakua adimu?