Tunduma 2000 per 1kgHuku arusha nimeenda dukani nikauziwa kilo moja ya sukari shilingi 3500 ..he huko mliko nyie mnauziwa shilingi ngapi..?mpaka nimeshtuka..huku muuzaji akisema tokea juzi sukari imepanda bei
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali, sio maelezo!Mvua mwaka jana zilianza mapema sana. Inawezekana kabisa ziliathiri uzalishaji wa viwanda vya ndani. Maji yakijaa mashambani, inakuwa ngumu kutoa miwa. Ndio maana viwanda vingi vinaanza uzalishaji June baada mvua, mpaka February kabla ya masika.
Hizi za mwaka huu zikiendelea kwa muda sana, nazo pia zitatengeneza tatizo kama hilo.
Cheka tu halafu ukute hata maji ya ugali yakizidi naweza kukupa unga wa kuongezeaí ½í¸
Bwana jiwe alituambia aliikuta sukari ikiuzwa Tshs 5,000 kwa kilo akaipunguza Hadi Tshs 2,500 na pia ingezidi kushika Bei.
Wanaomuamini Magufuli sijui huwa wanavutishwa kitu gani?!!!
Mimi nimeingiza stock mpya wiki iliyopita lkn bado inaniruhusu tu kuuza hiyo 2600 maana bado maslahi yapo.Mnaonunua sukari chini ya 3,200/= nina wasiwasi hiyo ni old stock. Ngojeni ikiisha hiyo "Mangi" akaleta ingine mtuambie.
Unanilazimisha? Kazi kweli kweli. Itakuwa Mwalimu wa chekechea
Kiwanda cha tpc huwa wanafunga kila mwaka kindindi hiki. ndo maana imependa.Mnaonunua sukari chini ya 3,200/= nina wasiwasi hiyo ni old stock. Ngojeni ikiisha hiyo "Mangi" akaleta ingine mtuambie.
Lusaka au nje ya Lusaka?Sehemu nilipo Kg ya Sukari ni Equivalent tsh2000
+260
Sent From Galaxy S9
Kilombero Morogoro inapozaliwa sukari tunanunua 2,600/=per kgs.Huku arusha nimeenda dukani nikauziwa kilo moja ya sukari shilingi 3500 ..he huko mliko nyie mnauziwa shilingi ngapi..?mpaka nimeshtuka..huku muuzaji akisema tokea juzi sukari imepanda bei
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilombero Morogoro inapozaliwa sukari tunanunua 2,600/=per kgs.Huku arusha nimeenda dukani nikauziwa kilo moja ya sukari shilingi 3500 ..he huko mliko nyie mnauziwa shilingi ngapi..?mpaka nimeshtuka..huku muuzaji akisema tokea juzi sukari imepanda bei
Sent using Jamii Forums mobile app
Nje ya Lusaka