Sukari huko kwenu shilingi ngapi kilo moja..?

Huku arusha nimeenda dukani nikauziwa kilo moja ya sukari shilingi 3500 ..he huko mliko nyie mnauziwa shilingi ngapi..?mpaka nimeshtuka..huku muuzaji akisema tokea juzi sukari imepanda bei

Sent using Jamii Forums mobile app


Juzi nimenunua kilo kwa sh 2,700/= Morogoro mjini. Imepanda drastically.

"Hapa kazi tu."
 
Mnaonunua sukari chini ya 3,200/= nina wasiwasi hiyo ni old stock. Ngojeni ikiisha hiyo "Mangi" akaleta ingine mtuambie.
 
Hili gonjwa la Mlipuko linakuja na mengi.

Wengine wanakamatia fursa humo humo
 
Bwana jiwe alituambia aliikuta sukari ikiuzwa Tshs 5,000 kwa kilo akaipunguza Hadi Tshs 2,500 na pia ingezidi kushika Bei.
Wanaomuamini Magufuli sijui huwa wanavutishwa kitu gani?!!!
 
Nimenunua Shoppers Jana kg 3000

Balaa kubwa hili....Sasa sijui ni nn kimetokea
 
Sehemu nilipo Kg ya Sukari ni Equivalent tsh2000
+260

Sent From Galaxy S9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…