mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
Hapa Bunda sukari imepanda bei toka 60,000 hadi 70,000 kwa mfuko wa kilo 25 kwa bei ya jumla ambapo kilo ni sh. 2800 lakini rejareja wanauza sh. 4,000 hadi 5,000. Cheki hii hapa.
Pamoja na hiyo foleni bado walikoswa wengi.kwa hiyo foleni inamaana unaweza ukawa na hela na bado sukari ukaikosa!
Hapo ni WALIKOSA.Pamoja na hiyo foleni bado walikoswa wengi.
Esther BulayaMbunge wa hapo ni nani Kwani?
Kunywa uji kwa chumvi.Sukari anasa weweHapa Bunda sukari imepanda bei toka 60,000 hadi 70,000 kwa mfuko wa kilo 25 kwa bei ya jumla ambapo kilo ni sh. 2800 lakini rejareja wanauza sh. 4,000 hadi 5,000. Cheki hii hapa.
OK ahsante...Esther Bulaya
Hii ni sukari toka Brazil imeingia leo na watu wakawa wameishalipia hata kabla haijafika. Bei ni sh. 65,000 mfuko wa kilo 25 tofauti na Kilombero iliyouzwa Jana kwa sh. 70,000.OK ahsante...
Sukari sukari sukari.Yani Mbowe katuhalibia sana alipopokea makapi ya ccm.
Siku hizi wana chadema tunakemea ufisadi kwa kujificha..
Chukulia mfano wabunge Wa chadema walipokemea uuzwaji Wa Nyumba za serikali wakaishia kuambiwa hata lowasa na Sumaye ni wanunuzi wakubwa Wa Nyumba hizo..