Wee jamaa una akili sana! Ungefaa kuwa mwenyekiti wa chama wing ya vijana kuchukua nafasi ya Sadifa mtoa rushwa!Just a picture neither suicide nor murder
Aiseee nmecheka sana....shangaaa maumivu ya kufa roho ikiwa inatoka huwa nimakali balaaa.It's a murder kwa ukaribu aliopo na kitanda kwa maumivu ya kukata roho lazima angerudi tu kitandani.
Vilevile hicho kiti kipo mbali sana hakikupigwa kwa mguu kipo kama kiliwekwa kabisa.
It's a murder
That's murder mkuu..Kajitundika huyo na ukiangalia vizuri mezani kuna kalamu na karatasi kana kwamba kaachia ndugu na jamaa ujumbe
[emoji28]Hiyo ni murder ingekuwa suicide ungeona mkojo hapo