Je huu ndio muendelezo wa bifu zao ama(Sugu na Ruge-Clouds Media group)??Utatoaje tuzo za heshima kwa waasisi au waimbaji wa mwanzo Bongoflava ukamwacha Sugu aka Mr 2?? Hiki ni kichekesho kwa Waandaaji wa Fiesta CloudsFm(Media).

Baadhi waliopata ni hawa:

Juma Nature

Fid Q

Bushoke

Prof Jay

Jay Dii

Unique Sisters

Mr Nice

Mabaga Fresh

Mandojo na Domokaya....n.k Sugu hayupo kundini. Hii imekaaje?? Wako seriaz kweli hawa??
Mie naweza kusema ni miongoni mwa waanzilishi na watetezi waliokuwa msitari wa mbele, japo wadau wengi walikuwepo kabla ya clouds. Mfano, Kim & the Boyz, kina Saleh Jabir, II Proud, Balozi, Soggy Dog, Solo Thang na wengine wengi nimewasahau. Enzi hizo hakukuwa na redio za fm.
zile tuzo ni kwa waliotoa mchango kwenye bongofleva bt kifiesta zaidi......sugu hajashirk fiesta toka enzi so asubiri hall of fame kwenye kili awards huko......na huyo sugu anasema wasanii wanahujumiwa malipo kwny fiesta hv hajui fiesta z mo than the payment?...tc the feeling of participatin in the biggest concert in TZ that matters...n wasanii wanalijua hilo....
Ni swala la kusikitisha kwenye tuzo kama zile kuwakosa watu kama Xplasters, Mapacha, Immam Abbas, University Corner, Manzese Crew, hardcore Unit.
For sure clouds hawapo serious ktk mipango yao.