Nampenda Sugu kwani ni mwanamuziki nguli wa hiphop ya bongo na DMX nampenda kwa sababu ni msanii nguli Marekani. Sasa taabu naipata kwa Ruge, maana sijui ana kipaji gani. Tangu amdhulumu Sugu ile dili ya malaria no more sina hamu na Ruge. So, kesho ni VINEGA bana........